kwa wale ambao tuliokua tukitumia (viroba) piteni hapa tushauriane kwa kuelekea

mshapigwa tatu bila mpaka sasa!

Viroba vimekua adimu kwel, fuata mapendekezo ya wakuu wengine humu wametoa njia mbadala
mkuu sio kila mtu beer zinapanda
balimi za buku jero bana zipo....au kuna bia naona zinaitwa eagle buk na miambili tuu...sema stimu hadi unze na gongo
kweli kabisa beer zenyewe zilikua hazipandi bila kushtua na viroba
 
ha
hahahaaaa
 
mkuu sio kila mtu beer zinapanda

kweli kabisa beer zenyewe zilikua hazipandi bila kushtua na viroba
Umeona eee,
Habari za kuamka kichwa kinagonga kama umefungiwa kengere ya kanisa la ufufuo na uzima wengine hatupendi[emoji134] [emoji134]
 
mkuu sio kila mtu beer zinapanda

kweli kabisa beer zenyewe zilikua hazipandi bila kushtua na viroba
Kingine, viroba ilikua ni mobile bar, yaani unajihudumia mwenyewe,
Wakati mwingine ukikaweka mfuko wa nyuma mademu mate yanawatoka wakijua waleti imetuna[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
kweli kabisa mkuu stimu ya beer 30 ulikua unaipata kwa viroba vitatu
 
Kingine, viroba ilikua ni mobile bar, yaani unajihudumia mwenyewe,
Wakati mwingine ukikaweka mfuko wa nyuma mademu mate yanawatoka wakijua waleti imetuna[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
hahahaaaa
 
Umeona eee,
Habari za kuamka kichwa kinagonga kama umefungiwa kengere ya kanisa la ufufuo na uzima wengine hatupendi[emoji134] [emoji134]
yani mi bia sio ishu kwanza unajaza tumbo na mimaji trip za toilet haziishi ukiamka asubuhi mi hangover na ili ulewe mpk utumie 30000
 
tafuta DON NYATI ya chupa iliyotengenezwa na kahawa fusion!utainjoy sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…