kwa wale first year embu tupeane ma feedback ya chuo

kwa wale first year embu tupeane ma feedback ya chuo

Moyibi

JF-Expert Member
Joined
May 11, 2012
Posts
1,054
Reaction score
701
Wasaalam..!! Ndugu zangu wa Jf...kwa upande wangu Kozi yangu Ya BVM Hapa Sokoine UniversitY of Agriculture.. Mambo Si lelemama nimekubali Challange Hope nikitoka likizo Mambo..Yangu YataninYookea ila kwa sasa...things ni hard ile mbaYa...vipi ndugu zangu wengne mambo Yamekaaje kwa upande wenu..
 
Utoto bana..hapo unataka watu wajue tu uko sua unasoma BVM.
 
Haya tushajua kuwa unasoma SUA na unachukua BVM so? Watu wafupi bn!
 
jaman cmtoe comment stahik,achen wivu!

afadhali umewaambia ukweli maana hawa watoto waliochukua kozi za kike a.k.a arts huwa wanabonga sana
 
Haya tushajua kuwa unasoma SUA na unachukua BVM so? Watu wafupi bn!

of coz najivunia kuchukua moja wapo ya proffesional Course..so kuna utofouti mkubwa kati yangu na wewe unaechukua rural dvlpnt..
 
Utoto bana..hapo unataka watu wajue tu uko sua unasoma BVM.

kijana nitake radhi...! Wewe ni mtu mzima so kama huwezi ku comment we pita tu..na si una comment upumbavu wako
 
Huyo boya anataka ulete mada ya kumuomba ushauri umetembea na mama mkwe ndio atachangia.LAKINI KUWAJULIA HALI WANACHUO WENZAKO YEYE HAONI UMUHI.BASI UMOJA SIO NGUVU KWA POINT ZAKE.
 
Huyo boya anataka ulete mada ya kumuomba ushauri umetembea na mama mkwe ndio atachangia.LAKINI KUWAJULIA HALI WANACHUO WENZAKO YEYE HAONI UMUHI.BASI UMOJA SIO NGUVU KWA POINT ZAKE.

mmh umeona eeh hasahasa huyu perry ana mdomo mchafu kwelikweli...
 
Hyo rural umempendelea anayochukua yeye ni ya fitina
 
Yap hao ndio wanga wenye.anatamani uanguke ili usimalize kozi yako.pumbav
 
HIVI WATU TULIKUWA TUKO PAMOJA TUNASOMA PAMOJA,TUKAPATA VYUO SEHEMU MBALIMBALI, SASA HUENDA TUNA MAPUMZIKO FLANI KATIKA MAANA KWAMBA KUNA NGWE TUMEIMALIZA-JE NI MBAYA KUWAULIZA WENZAKO NAMNA GANI WAMEFANIKISHA AU UGUMU WOWOTE AU LOLOTE TU AMBALO MWENZAKO ANAWEZA KUPATA FUNZO. HV KUNA UBAYA KWELI?kwani hapo ishu ni hyo kozi au
 
Sorry.mimi huwa silibebi hlo neno katika uzito huo.ingawa mtu ku vunja mada ya mwenzio ili watu wasisaidie ndio upumb... Wenyew
 
Huyo boya anataka ulete mada ya kumuomba ushauri umetembea na mama mkwe ndio atachangia.LAKINI KUWAJULIA HALI WANACHUO WENZAKO YEYE HAONI UMUHI.BASI UMOJA SIO NGUVU KWA POINT ZAKE.

nimeishajuliana hali na wana udsm wenzangu inatosha..panya wengne wanaosoma vyuo vya uchochoroni kama wewe na mleta mada hamnihusu,kwanza nijue maendeleo yenu ili iweje?
 
nimeishajuliana hali na wana udsm wenzangu inatosha..panya wengne wanaosoma vyuo vya uchochoroni kama wewe na mleta mada hamnihusu,kwanza nijue maendeleo yenu ili iweje?

kuku wa maziwa wewe..kati Ya Wana udzm na wewe utakuwemo majemb wa udzm ni wale wanaopiGa enginern nguchiro kama wewe huna tofouti na wale machangu wa sinza
 
Back
Top Bottom