Kwa wale mabingwa wa kutongoza, huu ndio uzi wenu nitongozeni

Kwa wale mabingwa wa kutongoza, huu ndio uzi wenu nitongozeni

Upumbavu ni sifa.. Hali ya kuwa mjinga kupitilza.. Mfano huyo jamaa uko juu amekupa sifa nyingine ya umalaya, kwaiyo kwa ujumla tuna sema wewe ni "MALAYA MPUMBAVU"

umenielewa best yangu?
 
Je unalijua lile lidreamliner na vile vibombadier vya Atcl?..
Vile vyote ni vya mshua wangu, kama ukinikubalia utavipanda mpaka uchoke.
Nikubalie baasi!
 
Naona mnalia lia sana pm. Nasikitik kwamba pm huwa sijibu sms au kuendeleza majadiliano huko
Uzi wenu ni huu unaweza kujaribu bahati yako
Karibuni hapa mnitongoze jamani, napenda kutongozwa mie[emoji12]
Katoto moyo wangu umekudondokea ghafla,naomba unipe nafasi
 
Hizo ni genye nyegezi au ni nini kimekukumba jini mahaba nalo huwa linatongoza wanaume.na Mimi nipe hiyohiyo ila usiweke pilipili
 
Upumbavu ni sifa.. Hali ya kuwa mjinga kupitilza.. Mfano huyo jamaa uko juu amekupa sifa nyingine ya umalaya, kwaiyo kwa ujumla tuna sema wewe ni "MALAYA MPUMBAVU"
umenielewa best yangu?
una uthibitisho gani?, au ni wivu tu
 
Back
Top Bottom