Kwa wale mabingwa wa kutongoza, huu ndio uzi wenu nitongozeni

Wapi wewe!!acha kuja kutuletea mangendembwee kisoro ivo,,Yaani sisi tukusalandie wewe alaf ili iweje sasa??em vunga pita ivi.
 
Katoto kabaya, ww umeumbika, unawakawaka, nikinywa maji kwenye glass nakuona, ww ndo tolezo la roho yangu naomba uje uushikilie moyo wangu, usidondoke
 
Katoto kabaya, ww umeumbika, unawakawaka, nikinywa maji kwenye glass nakuona, ww ndo tolezo la roho yangu naomba uje uushikilie moyo wangu, usidondoke
moyo nikiushikilia naubinya unabofoka bst nakutia hasara😜
 
Basi ww utakuwa dume, mitongozo yote hii hujanielewa tu!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…