Kwa wale mafundi ujenzi wa nyumba

Kwa wale mafundi ujenzi wa nyumba

gelevahekejr

Senior Member
Joined
Feb 24, 2014
Posts
120
Reaction score
16
Mi nikijana ambaye nahitaji kujenga ila nataka kujenga nyumba nzuri kidogo ambayo ikotofauti na jirani zangu Kwa wale mafundi cement mifuko mingapi inaitajika hapo juu vyumba 2 na sebule chini vyumba 2 choo name bafu
Screenshot_2014-04-16-08-45-05.png
 
Kaazi kweli kweli. Yaani unataka tu calculate materials kwa kutumia picha? Na kwa nini unaulizia cement tu, kuna matofali, nondo, kokoto, mbao, mabati n.k
 
Approximate estimation....inaeza kukusaidia kupata a probable cost of your building but also needs more drawings and specifications and haitokupa accurate total cost..
 
And if you need accurate
cost of your building...kuna michoro ming inahitajika architect and engineer's drwawings....and huez jenga nyumba nzur kwa raman za mtandaon n za ulaya coz wamezi desing kutegemeana na mazingira yao......
 
hizi ni kazi za watu na wanaitaj kulipwa so unataka ufanyiwe bure????
 
Back
Top Bottom