Kwa wale mlio andikiwa eligible na tcu,someni hapa mjue jinsi selection inavofanyika.

Perry

JF-Expert Member
Joined
Feb 24, 2011
Posts
10,058
Reaction score
2,195
Possession of reguired entry qualifications does not guarantee admission into a higher education institution of the aplicant's choice,since all aplicants will be selected on competitive ranking of all applicants in the order of merit using their A level examination results.hence,applicants with the highest point scores will normally be selected first.

If the applicant is eligible and competitive enough against other applicants for the first preference,he/she will be selected to that program and the rest of his/her preferences will not be considered any more.

If the applicant is not eligible for his/her first or 2nd preference,but he/she is eligible for his/her third preference he/she wil be selected to the third preference and the rest of his/her preferences will not be considered any more.

Ndio hayo tu waheshimiwa.
 
Mkuu taarifa toka wapi hizi????
 
Kwa hiyo hapo hata kama mtu kaandikiwa eligible kwenye program ya kwanza,asije matumaini kwamba ndo kapata hyo program coz it seems bado kuna mchujo mkali hapo?
 
nikama tumequalify kugombea ubunge, but sio sote tutakaokuwa wabunge!!!!
Mungu awe nasi
 
Sasa inawezekana ukakosa kabisa si ndio?
 
nikama tumequalify kugombea ubunge, but sio sote tutakaokuwa wabunge!!!!
Mungu awe nasi

nadhani ni lazima uchaguliwe kwenye moja ya kozi ulizoandikiwa eligible.
 
nadhani ni lazima uchaguliwe kwenye moja ya kozi ulizoandikiwa eligible.

kweli kabisa mkuu.
Mtu umeandikiwa kozi 8 eligible alafu ukose chuo?? itakua muujiza
 
So means hata ukiandikiwa eligible zote unaweza ukakosa?
 
Kwel kwa course zako zote eligble lazima upate kimoja
 
je kama umechagua zote zenye competition alafu kama unavyosema wanachaguliwa kwanza wale wenye ufaulu mkubwa kuliko wako na hizo course zikajaa inamaana utakosa chuo au watakutafutiapa kukuweka..?
 
So means hata ukiandikiwa eligible zote unaweza ukakosa?
Kimantiki hilo linawezekana. Kama mpo watu kumi wote mpo eligibe (assume everything), lakini nafasi zilizopo ni mbili tu, obviously kuna watu nane itabidi wakose (paomoja na kuwa wanazo sifa zote).
 
nadhani ni lazima uchaguliwe kwenye moja ya kozi ulizoandikiwa eligible.

Siyo lazima uchaguliwe mkuu kwa hizo zote 8 hata kama umeandikia eligible, kumbuka utaingizwa kwenye competion na wenzio kwani wanaangalia ufaulu wako wa form 6, mfano unaweza ukawa na div three ya 14 kwenye program zote ukawa umeomba na wenzio wenye div one, na two na program hizo zikawazinahitaji admission capacity kama 30 na mliapply ni zaidi ya admission capacity hivyo lazima upigwe chini lamsingi tu ni kuwa uwe na ufaulu mzuri na muombe Mola vilevile. Mwaka jana waliopigwa chini waliandaliwa slot mpya na hawakupata mkopo hadi leo
 
well,but nadhan kwa mtu mwenye division 1 au 2 ni lazima apate kwenye moja ya zile atakazokua ameandkiwa eligible,huyo mwenye three inategemeana na kozi husika atakayokua ameiomba!
 
eti jamani nimejaza kozi sita tu alafu nimequalify tano vipi hapo kunakuchaguliwa kwa maana nimesikia ya kwamba ni lazima uwe ume qualify 6 course jamani nasubilia maoni yenu wakubwa wa wana JF
 
eti jamani nimejaza kozi sita tu alafu nimequalify tano vipi hapo kunakuchaguliwa kwa maana nimesikia ya kwamba ni lazima uwe ume qualify 6 course jamani nasubilia maoni yenu wakubwa wa wana JF

are you serious nigger?maana kuna cousin wangu kaqualify 3 tu kati ya 8?
 
eti jamani nimejaza kozi sita tu alafu nimequalify tano vipi hapo kunakuchaguliwa kwa maana nimesikia ya kwamba ni lazima uwe ume qualify 6 course jamani nasubilia maoni yenu wakubwa wa wana JF.!?
 
eti jamani nimejaza kozi sita tu alafu nimequalify tano vipi hapo kunakuchaguliwa kwa maana nimesikia ya kwamba ni lazima uwe ume qualify 6 course jamani nasubilia maoni yenu wakubwa wa wana JF.!?

Muombe mungu sana unaweza pata
 
eti jamani nimejaza kozi sita tu alafu nimequalify tano vipi hapo kunakuchaguliwa kwa maana nimesikia ya kwamba ni lazima uwe ume qualify 6 course jamani nasubilia maoni yenu wakubwa wa wana JF.!?

mbona ziko eligible zote dogo,ebu check tena?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…