Kwa wale mlio andikiwa eligible na tcu,someni hapa mjue jinsi selection inavofanyika.

Possession of reguired entry qualifications does not guarantee admission into a higher education institution of the aplicant's choice,since all aplicants will be selected on competitive ranking of all applicants in the order of merit using their A level examination results.hence,applicants with the highest point scores will normally be selected first.

If the applicant is eligible and competitive enough against other applicants for the first preference,he/she will be selected to that program and the rest of his/her preferences will not be considered any more.

If the applicant is not eligible for his/her first or 2nd preference,but he/she is eligible for his/her third preference he/she wil be selected to the third preference and the rest of his/her preferences will not be considered any more.

Ndio hayo tu waheshimiwa.

Ishakuwa bahati nasibu hii,Mungu atusaidie
 
ndio mkuu nimeona kaka sasa sijui niongezee kozi zingine au nitaharibu kila kitu
 
acha wenge,kwa matokeo yako kwa hzo programs ulzoomba mbona utapata 2!
 
TCU wangezingatia pia perfomance ya form4 manake kuna watu wamebahatisha one huku form4 alikuwa na threeya25 !
 
TCU wangezingatia pia perfomance ya form4 manake kuna watu wamebahatisha one huku form4 alikuwa na threeya25!

una uhakika na ilichokiandika hapo??? A-Level hakuna kubahatisha mkuu sema O-Level wengi huteleza
 
TCU wangezingatia pia perfomance ya form4 manake kuna watu wamebahatisha one huku form4 alikuwa na threeya25 !

nasikia kuna baadhi ya vyuo kama udsm,wanaangalia hadi matokeo ya form 4.
 
kweli kabisa mkuu.
Mtu umeandikiwa kozi 8 eligible alafu ukose chuo?? itakua muujiza

habari mkuu
mimi katika kozi zote 8 nilizo apply ziko eligible na nina cut off 5!
Je hapo ntaambulia bure kweli?
 
Inategemea ulisoma kombo gani,umeomba kozi gani na vyuo gani!! pia kwa sasa unaweza kuangalia walio apply kwenye hiyo kozi na kujua competition itakuaje. kama unatumia computer nenda kwenye view my selection status kisha elekeza mouse pointer kwenye CODE ya kozi pale upande wa kushoto, hapo utaona walio apply, walio eligible, walio weka first choice na admission capacity, hapo utaona jinsi competition ilivyo kwenye kila kozi uliyo omba!!!
 
TCU wangezingatia pia perfomance ya form4 manake kuna watu wamebahatisha one huku form4 alikuwa na threeya25 !

inaonekana mkuu ulibahatisha 4m4 hlf 4m6 umesanda, watu 4m6 huw hawabahatshi bana
 
kweli mkuu hapo umenena advance ni noma maana ule mziki sio wa kitoto..!! Kama ulivyonena hapo O-lvl weng wamebahatisha vi öne vya mwisho nao wanajiona wakali kumbe mwisho wa siku wanaonekana ni vilaza tu mimi mwenyewe nimesoma na washkaji wenye single zao O-lvl ila mwisho wa siku wamechomoka na 3 za mwisho
 
umeona eeh!,
 
umeona eeh!,

ndo ivyo mkuu..!! Yaani multiple choice,matchn item,na definitn wapi na wapi? Vikupeleke chuo si mtu angekuwa anamaliza form 4 ana apply moja kwa moja chuo..mwisho wa siku ndo maana ikawepo Advance level
 
Dah, nshaogopa, me nina cut of points 4, af nimeaply civil eng, comp eng, architecture.. Ntapata kweli??
 
umeona eeh!,

ndo ivyo mkuu..!! Yaani multiple choice,matchn item,na definitn wapi na wapi? Vikupeleke chuo si mtu angekuwa anamaliza form 4 ana apply moja kwa moja chuo..mwisho wa siku ndo maana ikawepo Advance level
 
kweli mkuu hapo umenena advance ni noma maana ule mziki sio wa kitoto..!! Kama ulivyonena hapo O-lvl weng wamebahatisha vi öne vya mwisho nao wanajiona wakali kumbe mwisho wa siku wanaonekana ni vilaza tu mimi mwenyewe nimesoma na washkaji wenye single zao O-lvl ila mwisho wa siku wamechomoka na 3 za mwisho

Achananae huyo jamaa hajui A-Level ni nini??
 
Back
Top Bottom