jusper ochieng
Member
- Jun 17, 2014
- 47
- 7
Ni vyema tukatambuana mapema ili tuweze kubadilishana mawazo kadha wa kadha...... kwa wale ambao hawajui mahali chuo kilipo... na mazingira ya chuo kilivyo asisite kuniuliza.... niko tayari kumpatia msaada...ila tu kama itakua ndani ya uwezo wangu.....
Naskia hiko chuo kipo karibu na makaburi sasa wanafunzi wengi husumbuliwa na mapepo?
Hahahahah hahaha daah kuna ukweli hapa kweli
Majina ya muce yapo kwenye list ya udsm au kwenye web yao?