Kwa wale mliochaguliwa MUCE

Kwa wale mliochaguliwa MUCE

Joined
Jun 17, 2014
Posts
47
Reaction score
7
Ni vyema tukatambuana mapema ili tuweze kubadilishana mawazo kadha wa kadha...... kwa wale ambao hawajui mahali chuo kilipo... na mazingira ya chuo kilivyo asisite kuniuliza.... niko tayari kumpatia msaada...ila tu kama itakua ndani ya uwezo wangu.....
 
waulize tuwape mazingira yetu pale karibunii mkwawa ila pale ni kitabu tu
 
Naskia hiko chuo kipo karibu na makaburi sasa wanafunzi wengi husumbuliwa na mapepo?
 
Chuo hakipo karibu na makaburi.... hayo makaburi yapo takriban km1 toka eneo la chuo....... habari ya mapepo hsyapo kabisaaaa........ mm kam mita 700..... hv tokea chuo kilipo ila cjasikia habary ya mapepo...
 
Back
Top Bottom