Kwa wale mliosoma Pugu Boys tupia kitu

Kwa wale mliosoma Pugu Boys tupia kitu

maslulkat

Senior Member
Joined
Feb 17, 2013
Posts
107
Reaction score
35
pugu ni miongoni mwa shule zilizo potea sasa zinarudi kwenye chat we unaonaje
 
Ilipotea lini, kwa muda gani na ni lini imeanza kurudi kwenye chati.
 
Ilipotea lini, kwa muda gani na ni lini imeanza kurudi kwenye chati.

jamaaa umelewa, na kama hujalewa basi hujasoma pugu boy's, na kama umesoma pugu ulikua pond boy, unamjua kaundula wewe? unamjua nampanda wewe unamjua magari na mama G wewe?
 
tunasema PEOPLE USUALLY GO TO UNIVERSITY (PUGU) AMA PATA UJUZI GAWIA UMMA (PUGU) NA SASA NIKO MZUMBE UNIVERSITY THIRD YEAR NASOMA UCHUMI, PUGU BOY TOKA FORM ONE YA SHELMOH NA OGESA MPAKA FORM SIX YA R.D MWELO NA OGESA AGAIN
 
Cwez kuisahau PUGU ndo shule ilionitoa mm...!
nmesoma PCM pale na nmeish Maendeleo 2
 
tunasema PEOPLE USUALLY GO TO UNIVERSITY (PUGU) AMA PATA UJUZI GAWIA UMMA (PUGU) NA SASA NIKO MZUMBE UNIVERSITY THIRD YEAR NASOMA UCHUMI, PUGU BOY TOKA FORM ONE YA SHELMOH NA OGESA MPAKA FORM SIX YA R.D MWELO NA OGESA AGAIN[/QUOTEYap Yap kwa mutabuzi ndo patamu zaidi
 
Nimesoma pugu boy nimeishi bweni la maendeleo seven.hivi magesa bado yupo mwalimu wangu wa agriculture
 
Vile vyoo vilinihamisha pale..simkumbuki mtu! Gadem..
 
Back
Top Bottom