Hapo Medicine na Archtecture ndo mpango mzma kufuatiwa na Education lakin hizo zngine had soli za viatu zinaisha kutafuta ajira! Engineering bongo 'una akili ww' , law wapi wanasheria kibao wanakufa njaa kitaani huku, acounts kila chuo.umeongea kishabiki hivi unaezaje kumponda engineer afu ukamsifia Archtectural kweli.umuhimu wa huyo msanifu na uzuri wake hauishii kwenye karatasi.na ma lawyer unawaponda kwani kesi zimeisha sikuhizi.accountant kwani benk hazihitaji wafanyakazi
Mpe kubwa mshenzi huyo mwalimu kwamza hana adabu tena yawezekana huyo chatts55 alikuwa mwanafunzi wako alikuwatukutu shuleni tena mbumbumbu kabisa bado anaendelea na kushindana na wewe mwalimu hii cku hizi hakuna suspetion aende kukaa na wazazi wake hana adabu!
Hapo Medicine na Archtecture ndo mpango mzma kufuatiwa na Education lakin hizo zngine had soli za viatu zinaisha kutafuta ajira! Engineering bongo 'una akili ww' , law wapi wanasheria kibao wanakufa njaa kitaani huku, acounts kila chuo.umeongea kishabiki hivi unaezaje kumponda engineer afu ukamsifia Archtectural kweli.umuhimu wa huyo msanifu na uzuri wake hauishii kwenye karatasi.na ma lawyer unawaponda kwani kesi zimeisha sikuhizi.accountant kwani benk hazihitaji wafanyakazi
Wewe umesoma(au unasoma course gani)..eti engineering bongo??watakucheka watu..engineer gani anasaga soli??labda aliesoma huko st joseph lakini si engineer wa udsm,dit na ardhi..usikurupuke tu kama umekunywa viroba..
1.Mambo ya mawasiliano na minara ya simu,hivi vitu vimeanza juzijuzi tu,kwa walimu wa zamani havikuwepo na sijui kama hiyo simu inakusaidia kuingiza kipato!
2.Kuna nyumba nyingi tu karibu na mazingira ya shule,tatizo mnataka nyumba high classic ndo maana hamtaki kukaa vijijini mnakimbilia kukaa mijini na kulalamika vituo vyenu vya kazi vipo mbali!
3.Sidhani kama madai unafatilia kila siku,isitoshe we ni mwl.uliyeajiriwa juzi juzi tu hapa na huna hela mwl.za kukufanya utafute huduma bank mara kwa mara.
4.Unaponitusi (shoga)hadharani inaonesha ni kiasi gani usivyokuwa na Ethics za Ualimu ,nakushukuru kwa sababu hiyo hainipunguzii hadhi yangu ya kike!
jipange mwalimu!![
....Mkuu samahani mi nilijua we ni wa kiume kumbe ni wa kike anhaaa!? anyway let the fact speak for them selves ulicho kiandika kinaendana kabisa na jinsia yako let me leave you mama.
Unaweza kuaomea ualim, na ukawa mwalim kwa muda then ukajiendeleza kusoma ukabadilisha field. Mimi nilikua mwalim na nishabadilisha kazi muda sasa.
mi nazani shida ni walimu nyie wenyewe wengi wenu mna ji devalue nyie wenyewe sasa mtu badala ya kuwatia moyo wanaokuja ili wafanye kila linalowezeka mazingira yaboreshwe wewe tena una washauri wasije tena una justify kwamba na wewe umekosea kwenda huko.walaaahi hata mi ningekuwa serikalini mngebaki hivyohivyo utamsaidiaje mtu aliyeenda sehemu kimakosa.afu mnalalamika sana mbona watu wengine wana hali ngumu na mazingira duni ila hatuwasikii
1.Mambo ya mawasiliano na minara ya simu,hivi vitu vimeanza juzijuzi tu,kwa walimu wa zamani havikuwepo na sijui kama hiyo simu inakusaidia kuingiza kipato!
2.Kuna nyumba nyingi tu karibu na mazingira ya shule,tatizo mnataka nyumba high classic ndo maana hamtaki kukaa vijijini mnakimbilia kukaa mijini na kulalamika vituo vyenu vya kazi vipo mbali!
3.Sidhani kama madai unafatilia kila siku,isitoshe we ni mwl.uliyeajiriwa juzi juzi tu hapa na huna hela mwl.za kukufanya utafute huduma bank mara kwa mara.
4.Unaponitusi (shoga)hadharani inaonesha ni kiasi gani usivyokuwa na Ethics za Ualimu ,nakushukuru kwa sababu hiyo hainipunguzii hadhi yangu ya kike!
jipange mwalimu!![
....Mkuu samahani mi nilijua we ni wa kiume kumbe ni wa kike anhaaa!? anyway let the fact speak for them selves ulicho kiandika kinaendana kabisa na jins,ia yako let me leave you mama.
UNAONESHA NI JINSI GANI USIVYOKUWA GREAT THINKER.mfumo dume umekutawala.
Mpiga msuli, medicine ndo ya kwanza. Huwezi linganisha na engineering
Mhm!me napita tu,walimu nawaheshmu sana lakini nawachukia sana kwa tabia yenu ya uoga na unafiki..hamna tofauti na mapolisi,mnadhani hyo kazi mmepewa kwa huruma za serikali..fungueni hzo akili zenu na mpiganie haki zenu,msiridhke na hzo gongo mnazopewa bure huko vijijini.shauri zenu lakini.
Kweli kabisa!Mkuu level ya digrii hakuna anaesomea ualimu,wanaosomea ualimu ni certificate na diploma! Its not necessary kuwa mwalimu eti kwa sababu ulisoma Ba.Ed au Bed...kua hapo wewe ultaka mwenyewe!But nevertheless USHAURI MZURI

Dogo siwezi kupoteza mda kubishana na wewe coz nilisha pita level yako since 2006 so ask your self where were u in 2006? kwa hesabu ya haraka utakua umemaliza fm 6 this year then 2010 we ulikua fm 4 ambapo kwa mwaka huo mi nilisha watoa vijana kibao kwenda fm5,kma 2010 ulikua fm 4,basi 2006 you were std 7. endelea kuamini kama unavyo amini.
mwalimu gani hujui hata kuandika,Mkuu nakuheshimu sana lakini hapa umeonyesha ujinga ulio tukuka,tatizo lako umefocus kwenye point moja ya maslah tu wakati nimegusia changamoto kibao kutokana na experience ya mazingira halisi haya hebu niambie nitatatua vp tatizo la network? nijenge mnara wa simu? nitatua vp distance ya makazi ya walimu na shule? natembea km 70 kwenda na kurudi 70 kwenda mjini kufatilia madai yangu halmashauri,na kwenda bank kupata huduma hebu niambie hapo ntatua usomi wangu vp kusolve hzo problems? acha upuuzi km hujui hali halisi kaa kimya sio unaongea kama shog.a.
Hapo Medicine na Archtecture ndo mpango mzma kufuatiwa na Education lakin hizo zngine had soli za viatu zinaisha kutafuta ajira! Engineering bongo 'una akili ww' , law wapi wanasheria kibao wanakufa njaa kitaani huku, acounts kila chuo kinatoa nani ambae anataka kushona via2 kwa sababu kila mtu anaweza kuhesabu pesa na panapohitajika kuna wafanyakaz wa kutosha wenye certificate ambao salary yao yaweza kuwa laki 2 per manth
Badilikeni wadau' Tz unatoka kwa fani yeyote ilimradi uwe mpiganaji! BIG UP To You All .... Am the New1