1.Mambo ya mawasiliano na minara ya simu,hivi vitu vimeanza juzijuzi tu,kwa walimu wa zamani havikuwepo na sijui kama hiyo simu inakusaidia kuingiza kipato!
2.Kuna nyumba nyingi tu karibu na mazingira ya shule,tatizo mnataka nyumba high classic ndo maana hamtaki kukaa vijijini mnakimbilia kukaa mijini na kulalamika vituo vyenu vya kazi vipo mbali!
3.Sidhani kama madai unafatilia kila siku,isitoshe we ni mwl.uliyeajiriwa juzi juzi tu hapa na huna hela mwl.za kukufanya utafute huduma bank mara kwa mara.
4.Unaponitusi (shoga)hadharani inaonesha ni kiasi gani usivyokuwa na Ethics za Ualimu ,nakushukuru kwa sababu hiyo hainipunguzii hadhi yangu ya kike!
jipange mwalimu!![
....Mkuu samahani mi nilijua we ni wa kiume kumbe ni wa kike anhaaa!? anyway let the fact speak for them selves ulicho kiandika kinaendana kabisa na jins,ia yako let me leave you mama.