Kwa Wale Mnaomfahamu:Kapotelea Wapi Huyu?

Kwa Wale Mnaomfahamu:Kapotelea Wapi Huyu?

Ukweli ninaoufahamu ni tofauti na huo ila sipendi kutoa mambo ya mtu binafsi hadharani bila ridhaa yake, ni vizuri aje ajieleze mwenyewe akate kiu ya washabiki wake
Yaani Rosweeter unaogopa kuitwa mmbea au nini? Kueleza tu kwa kifupi yuko wapi na anafanya
nini si jambo baya wala huo si umbea.
 
Last edited by a moderator:
Mkuu HYGEIA pole sana, ndo hivyo siku nyingine unawahi kabla ya wengine, lkn afadhali alikuachia picha utakuwa unavutia hisia.
Nipe tu pole kivyako, maana huyu dada nilimzimikia kinoma yaan ila wenzangu walinizidi ushapu.
Hata hivyo nilipoza moyo wangu kwa msanii mwingine aliyeteka pia moyo wangu. Anakujaga Moshi
kula ndafu
 
Last edited by a moderator:
Mkuu unajua umetukana, "kunukanuka manyoyo"?
Hiyo si kutukana best yangu. Ni dharau na kubeza.Ila kusema kweli alitaka tu kueleza jinsi wadada
wengi wanavyojisahau kujitunza baada ya kuolewa na kupata watoto.
 
Hiyo si kutukana best yangu. Ni dharau na kubeza.Ila kusema kweli alitaka tu kueleza jinsi wadada wengi wanavyojisahau kujitunza baada ya kuolewa na kupata watoto.
Nimekuelewa mkuu, ila maneno hayo ni makali sana! Angetumia ka-tasfida kidogo!
 
Anna Konstantine yupo Sinza, kapendeza ile yenyewe.
Wivu sinaga Idimi ila moyo unanienda mbio sana.Nilivokuwa nampenda huyu mtoto jamani!!
 
Last edited by a moderator:
Wivu sinaga Idimi ila moyo unanienda mbio sana.Nilivokuwa nampenda huyu mtoto jamani!!

Hahahahh. Naona umemchelewa kidogo, ila kimsingi hawa ndio waigiza wa mwanzo mwanzo wa MODERN bongo movie. Kundi lao la 'Mambo Hayo' lilikuwa na Bishanga Bashaija, Jacob Steven (JB), Richi, Tecla Mgaya (Aisha) na wengine wawili ambao nimewasahau kidogo.
 
Back
Top Bottom