Yaani Rosweeter unaogopa kuitwa mmbea au nini? Kueleza tu kwa kifupi yuko wapi na anafanyaUkweli ninaoufahamu ni tofauti na huo ila sipendi kutoa mambo ya mtu binafsi hadharani bila ridhaa yake, ni vizuri aje ajieleze mwenyewe akate kiu ya washabiki wake
Nipe tu pole kivyako, maana huyu dada nilimzimikia kinoma yaan ila wenzangu walinizidi ushapu.Mkuu HYGEIA pole sana, ndo hivyo siku nyingine unawahi kabla ya wengine, lkn afadhali alikuachia picha utakuwa unavutia hisia.
Nimekuelewa mkuu, ila maneno hayo ni makali sana! Angetumia ka-tasfida kidogo!Hiyo si kutukana best yangu. Ni dharau na kubeza.Ila kusema kweli alitaka tu kueleza jinsi wadada wengi wanavyojisahau kujitunza baada ya kuolewa na kupata watoto.
View attachment 97140 Alikuwa muigizaji mzuri sana. Kaishiaga wapi simsikii tena?
Wivu sinaga Idimi ila moyo unanienda mbio sana.Nilivokuwa nampenda huyu mtoto jamani!!
Mkuu unajua umetukana, "kunukanuka manyoyo"?
Uigizaji wa bongo wengi auawalipiKama ni kweli Totos Boss, inasikitisha! Mtu atakuambiaje uache kazi aliyokukuta nayo na wewe unamkubalia? Wadada mpoo?