Unajua kinachofanywa na hao wamiliki wa hiyo migahawa,ukiwemo huo wa Aljazeera, ni kuwa wanakula dili na hao madereva, kwa mfano hapo Aljazeera, kuna chumba kabisa cha 'staff' ambacho wanaingia wafanyakazi wote wa hayo mabasi, wanapewa chakula na vinywaji bure na wakiondoka hapo, wanaondoka na bahasha, ikiwa ni kamisheni yao.Pale Aljazeera kwa chakula hovyo kabisa. Wasafiri wanaotumia mabasi wanalazimika kula pale sababu huwa wanapitishwa pale kwa lazima.
Hapo aljazeera nshakula sana mishikaki katika safari zangu za kwenda Iringa.
Kama nilikula nyama ya mbwa potelea mbali.
Nachojua mishikaki ilikuwa mitamu na nilikuwa na njaa.
Heck, ignorance is bliss.
Migahawa mizuri na yenyewe huduma nzuri ipo road ya dar-arusha i mean Korogwe mpaka mombo (high way restaurant ya Dar xpress, blue parrot, hill top restaurant, Liverpool restaurant na kuna nyingine ya KLM xpress ambayo itafunguliwa soon, na moja nimeisahau jina) kwanza zipo nying so lazma huduma ziwe nzuri kwa ushindani
niliwahi safiri na mdada mmoja yaan yeye samaki kanunua kala.. mahindi ya kupika kala... yai ka kuchemsha kala.. juice zetu zile ndo anakunywa tuu.. kufika sehem tena ananunua hizo chips.. nikawaza hivi huyu tumbo likimvuluga sasa hivi hapa si ndo itakuwa mwisho wa safar huyu.....
kiufupi si vizur kulakula njiani
wanaboa sana,tena ukiwa umekaa nae siti moja,wanakulakula hovyo tu,siwapendi watu wa hivyo,mimi nikitoka dar kwenda kigoma,nakula KAHAMA,tunapolala,then KIGOMA mwisho wa safari
Liverpool chafu ajabu chakula kibovu watumishi wachafu cjui serekali yetu ina shea hapo
Habari wakuu
Nikiwa safarini kutokea Songea kuja Jijini Dar ili kupata Mlo wa mchana imebidi tupitie hotel ya Aljazeera, kwa wale wanaotokea Iringa, Njombe na makambako wanajjua.
Huduma za vyakula ni mbovu kupita maelezo nikimaanisha ubora wa chakula chenyewe ni mbovu kwani kidogo waniuzie kiporo cha wali kuku nikawaambia huo ujanja wenu naufahamu time na kama hakuna chakula kilichopikwa Leo basi rudisheni hela Yangu.
Mdada akaja juu ananifokea nikamwambia chakula chenu hicho hapo kwenye Meza nawaachieni mle Mimi naendelea na safari.
Nikatoka zangu nje nataka kuingia kwenye Gari Mara MTU ananivuta shati chukua hela yako, ilikuwa shilingi elfu tano, nikacheka kimoyomoyo nikaondoka zangu.
Huwa sina tabia ya kula safarini ila kwa sababu natumia dawa ilinibidi.
Nitaenda kula mbele ya safari.
Nilikuwa nikisikia watu wakilalamika kuhusiana na hii hotel kuhusiana na chakula kibovu na lugha chafu za wafanyakazi ila Leo nimeshuhudia mwenyewe.
Migahawa mizuri na yenyewe huduma nzuri ipo road ya dar-arusha i mean Korogwe mpaka mombo (high way restaurant ya Dar xpress, blue parrot, hill top restaurant, Liverpool restaurant na kuna nyingine ya KLM xpress ambayo itafunguliwa soon, na moja nimeisahau jina) kwanza zipo nying so lazma huduma ziwe nzuri kwa ushindani
hahaha, nyumba ya ibada imeingiaje tena mkuu?!! ile wameweka kwa ajili ya wasafiri kupata mahala pa kutimiza matakwa ya imani yao.
Pale Aljazeera kwa chakula hovyo kabisa. Wasafiri wanaotumia mabasi wanalazimika kula pale sababu huwa wanapitishwa pale kwa lazima.