Kwa wale mnaopenda kula hotel ya Aljazeera

Kwa wale mnaopenda kula hotel ya Aljazeera

Nilishawahi kula njiani nikaishia kutapika njia nzima, siku hizi ni mwendo wa eet sum moor tu, nikiona mtu anakulakula naanza kutapika
 
...kuna hotel mpya karibia na ruaha mbuyuni na pale comfort angalau palikuwa poa kidogo,sijapita hivi karibuni. Tatizo la mihoteli ile huwa wanafanya timing ya mabasi wakiyakosa biashara imedoda maana wenyeji hawazitumii sana...
 
Pale Aljazeera kwa chakula hovyo kabisa. Wasafiri wanaotumia mabasi wanalazimika kula pale sababu huwa wanapitishwa pale kwa lazima.
Unajua kinachofanywa na hao wamiliki wa hiyo migahawa,ukiwemo huo wa Aljazeera, ni kuwa wanakula dili na hao madereva, kwa mfano hapo Aljazeera, kuna chumba kabisa cha 'staff' ambacho wanaingia wafanyakazi wote wa hayo mabasi, wanapewa chakula na vinywaji bure na wakiondoka hapo, wanaondoka na bahasha, ikiwa ni kamisheni yao.

Kwa hiyo hao madereva hawajali usalama wa afya wa abiria wao, kama watapata matumbo ya kuharisha, bali wanachojali wao ni kujaza matumbo yao kutokana na hiyo mivyakula mibovu na hizo kamisheni wanazopewa na hao wamiliki wa hiyo migahawa!
 
il kuna watu wanajua kula safarini utafikkri hawatakula milele aise unakuta mtu Ana wali Mara mayai .karanga soda keki akhaaa. Njia nzima mtu anakula tu
 
Hapo aljazeera nshakula sana mishikaki katika safari zangu za kwenda Iringa.

Kama nilikula nyama ya mbwa potelea mbali.

Nachojua mishikaki ilikuwa mitamu na nilikuwa na njaa.

Heck, ignorance is bliss.

mkuu mi nikifika Aljazeera sili kitu kingine zaidi ya mishkaki... Mishkaki,yao imekaa kienyeji enyeji lakini sijawahi kuumwa tumbo, huwa nachukua na chips kavu kidogo mchezo umekwisha. Hakuna kitu kingine chochote aljazeera nachoweza kukiweka mdomoni.. Niliwahi kununua crips kwenye hilo duka lao nikashindwa kuzila. Niliwahi kujaribu kununua nyama choma nikadhania ni kama zile za HIGHWAY hotel ya Dar express nikajuta... Ilikuwa mbichi na ukiikamua inakuwa kama ina damu... Duh! Nakumbuka ile nyama niliwarushia KIMA/NYANI maana wapo wengi njia ile.
 
Migahawa mizuri na yenyewe huduma nzuri ipo road ya dar-arusha i mean Korogwe mpaka mombo (high way restaurant ya Dar xpress, blue parrot, hill top restaurant, Liverpool restaurant na kuna nyingine ya KLM xpress ambayo itafunguliwa soon, na moja nimeisahau jina) kwanza zipo nying so lazma huduma ziwe nzuri kwa ushindani

kweliiii mkuuu nimejionea mwenyew kweny hzi hotel n nzuri sanaaa
ila liverpool pale cyo pazur sanaa kuna siku niliuziwa chips za jana akee aaaaaghhh walinichefua sanaaa hizo zingine ziko poaaaa kabisaa
 
niliwahi safiri na mdada mmoja yaan yeye samaki kanunua kala.. mahindi ya kupika kala... yai ka kuchemsha kala.. juice zetu zile ndo anakunywa tuu.. kufika sehem tena ananunua hizo chips.. nikawaza hivi huyu tumbo likimvuluga sasa hivi hapa si ndo itakuwa mwisho wa safar huyu.....
kiufupi si vizur kulakula njiani

safarini ni sehemu nzuri sana ya kujipima ni muda gani unaweza kaa na njaa.
Maajabu wengi wetu hushindana kula.

Nakumbumbka wakat narudi home wakat nasoma, nliwaiga wenzangu nunua vyakula,lakin wala sikula.
 
hatareeee. kuna mm nlikaa nae city 1 dar mbey alkula tafkir haji kula tenaaaa af 2mbo lilamsumbua mno atakuwa ariarish
 
wanaboa sana,tena ukiwa umekaa nae siti moja,wanakulakula hovyo tu,siwapendi watu wa hivyo,mimi nikitoka dar kwenda kigoma,nakula KAHAMA,tunapolala,then KIGOMA mwisho wa safari

!
!
kuna wale unakuta umekaa siti ya dirishani halafu yeye kila saa anaomba ateme mate,au anayarusha nje ntyeee.
 
Habari wakuu


Nikiwa safarini kutokea Songea kuja Jijini Dar ili kupata Mlo wa mchana imebidi tupitie hotel ya Aljazeera, kwa wale wanaotokea Iringa, Njombe na makambako wanajjua.


Huduma za vyakula ni mbovu kupita maelezo nikimaanisha ubora wa chakula chenyewe ni mbovu kwani kidogo waniuzie kiporo cha wali kuku nikawaambia huo ujanja wenu naufahamu time na kama hakuna chakula kilichopikwa Leo basi rudisheni hela Yangu.


Mdada akaja juu ananifokea nikamwambia chakula chenu hicho hapo kwenye Meza nawaachieni mle Mimi naendelea na safari.


Nikatoka zangu nje nataka kuingia kwenye Gari Mara MTU ananivuta shati chukua hela yako, ilikuwa shilingi elfu tano, nikacheka kimoyomoyo nikaondoka zangu.


Huwa sina tabia ya kula safarini ila kwa sababu natumia dawa ilinibidi.


Nitaenda kula mbele ya safari.


Nilikuwa nikisikia watu wakilalamika kuhusiana na hii hotel kuhusiana na chakula kibovu na lugha chafu za wafanyakazi ila Leo nimeshuhudia mwenyewe.

ndugu yangu kwani lazima ule ule chipsi nyama choma kuku ndizi choma soda
 
Ukipanda magar ya Dar- kyela utabak kinywa wazi.
Kuna wamama wa kinyakyusa wanakula safarin balaaa.
 
Al Jazeera na Liverpool ni za mtu mmoja. Zote ni hovyo
 
Migahawa mizuri na yenyewe huduma nzuri ipo road ya dar-arusha i mean Korogwe mpaka mombo (high way restaurant ya Dar xpress, blue parrot, hill top restaurant, Liverpool restaurant na kuna nyingine ya KLM xpress ambayo itafunguliwa soon, na moja nimeisahau jina) kwanza zipo nying so lazma huduma ziwe nzuri kwa ushindani

KLM ishaanza mkuu inamwezi kama ivi
 
Pale comfort kidogo wanajitahidi ila wa chips pale nje nae majanga,zile chips mayai zilizopangwa za chini ndo huwa fresh zile za juu ni uporo.ukichagua za chini anapandisha bei au hakuuzii anakuwa mkali
 
Nilichogundua kuwa wengi wetu safarini tunakula kwa sababu ya "kujionesha" tu kuwa na wewe una pesa ya kununua chakula.

Mi siamini kama kweli wengi wetu tunashindwa kuvumilia njaa ya masaa machache sana safarini mpaka ifikie hatua ya kuhatarisha afya yako kwa kula "ovyo ovyo tu".

Mbona majumbani mwetu muda mwingine tunakaa kuanzia asubuhi mpaka saa 9 au kumi ndo tunapata chakula?

Ushauri wangu ni huu:Kama kweli imekubidi kula kutokana na njaa,jaribu kuwa na ka-box hata ka-biskuti na chupa yako ya maji au soda.Na hata hizi juice za kwenye boksi mi sishauri utumie ukiwa safarini maana wengi wetu hatuna utamaduni wa kuchunguza muda wa matumizi.(Expire date).
 
Mie nikisafiri huwa sili chakula kabisa njiani
 
hahaha, nyumba ya ibada imeingiaje tena mkuu?!! ile wameweka kwa ajili ya wasafiri kupata mahala pa kutimiza matakwa ya imani yao.

Wanasumbua sana abiria kuwasubiri wao wanaswali ustaarabu upo wapi sasa, imani yako sawa sasa sisi kwanini utukereeeeeeeeeeee. Mimi nikifika hoteli ile uwa nanunua aple sa asili kutoka kwa wale wasambaa.
 
Pale Aljazeera kwa chakula hovyo kabisa. Wasafiri wanaotumia mabasi wanalazimika kula pale sababu huwa wanapitishwa pale kwa lazima.

Kwel mkuu hapa aljazeera hakuna ubora wa msosi afu bei juu,kwa wale wajanja gari ikiingia tu huwa wanatoka nje kuna vibanda vya chips na mazaga mengine,bora kule bei ni ndogo kuna uafadhali kuliko hotel,pia wafanyakaz sio waminifu unaweza nunua maji ya 500 wakakubambika 1000 kuwen makini eeh
 
Back
Top Bottom