Kwa wale muendao kwa waganga wa kienyeji...

Hemedy Jr Junior

JF-Expert Member
Joined
Feb 17, 2023
Posts
915
Reaction score
1,082
๐Ÿ‘‰Tambua ushaibiwa nyota yako.

๐Ÿ‘‰ Umepoteza nuru yako binafsi.

๐Ÿ‘‰ Umepoteza uwezo wako binafs.

๐Ÿ‘‰ Hufanyi kitu bila kuwaza mashariti.

๐Ÿ‘‰ Una mahamuzi sahihi kuhusu changamoto zinazokukabili.

๐Ÿ‘‰ Tambua kivuli chako ndo nyota yako (kitaalamu) so kivuli chako kikifunikwa hapo huwezi fanikiwa chochote.

๐Ÿ‘‰ Ila unaweza kuondoka huko.

โœEndelea kukaa na mimi kwenye page hii.
 
[emoji117]Tambua ushaibiwa nyota yako.

[emoji117] Umepoteza nuru yako binafsi.

[emoji117] Umepoteza uwezo wako binafs.

[emoji117] Hufanyi kitu bila kuwaza mashariti.

[emoji117] Una mahamuzi sahihi kuhusu changamoto zinazokukabili.

[emoji117] Tambua kivuli chako ndo nyota yako (kitaalamu) so kivuli chako kikifunikwa hapo huwezi fanikiwa chochote.

[emoji117] Ila unaweza kuondoka huko.

[emoji871]Endelea kukaa na mimi kwenye page hii.
Aendae kwa mganga ni mjinga wa mwisho
Yni mtu yy kashindwa kutajirika eti akutajirushe ww hlf utawakuta ni wasomi wazuri tu wa secular

Yni kwenda kwa mganga ni upumbavu na ujinga
 
[emoji117]Tambua ushaibiwa nyota yako.

[emoji117] Umepoteza nuru yako binafsi.

[emoji117] Umepoteza uwezo wako binafs.

[emoji117] Hufanyi kitu bila kuwaza mashariti.

[emoji117] Una mahamuzi sahihi kuhusu changamoto zinazokukabili.

[emoji117] Tambua kivuli chako ndo nyota yako (kitaalamu) so kivuli chako kikifunikwa hapo huwezi fanikiwa chochote.

[emoji117] Ila unaweza kuondoka huko.

[emoji871]Endelea kukaa na mimi kwenye page hii.
Una maamuzi sahihi au Huna maamuzi sahihi!???
 
Kwa kujua, chochote kisipokua Active kina reflect katika maisha ya Kawaida, unaweza kuchezewa Nyota yako, but Kivuli chako kikawepo!
Tupe.somo kidogo kivuli ni nini na nyota ni nini....je kivuli ndo jini la mtu?
 
Kivuli ni kile unachokijua, Nyota sio jina la Mtu, ila Nyota ni wewe mwenyewe, Nyota ndo Hatima yako, Nyota ni kitu ambacho kinaonekana kwenye Ulimwengu wa Roho tu, ila kina reflect hata kwenye Maisha ya kawaida....!
Kivuli kinaonekana kwenye Ulimwengu wa Nyama, but kinaweza kuchezewa kwenye ulimwengu wa roho na kisionekane kwenye ulimwengu wa Nyama.

Nyota yako ndo inasema wewe utakua nani Kesho....!

Wachungali wanaweza kujua kuhusu Nyota yako.
Waganga wanaweza kujua kujua kuhusu Nyota yako.
Wachawi wanaweza kujua kuhusu Nyota yako.
Majini wanaweza kujua kuhusu Nyota yako.

Watu wenye Nguvu za Kiroho wakitaka kuharibu Future yako, hawahangaiki na mwili wako, wanahangaika na Nyota yako, coz Nyota ni kama Taa yako, ikizimishwa kwenye Ulimwengu wa Roho, inaleta Giza kwenye Ulimwengu wa Mwili, hutosogea tena, otherwise Nguvu nyingine ya Kiroho ama Mchungaji ama yeyote mwenye Nguvu kubwa ya kiroho, Ainasue Nyota yako.

Ama wewe Mwenyewe ukubali kumrudia yeye aliye juu, kwa kufumba na kuomba bila Masikhara.... Japo hii inafanya kazi mara chache.
 
Hujajibu ulichoulizwa ngoja nitawapa somo kuhusu nyota but (Nyota ndo kivuli chako) haya nikuachie swali unajua matumiz ya kioo kwa wachawi ?
 
Nimejaribu kuelezea vile nafahamu kiroho, mm sio Mganga wala Mchawi, hayo mambo ya Kioo ni mambo ya kichawi ambayo sina ujuzi nayo!

Nilichoelezea kuhusu Kivuli na Nyota, ni kwa uzoefu toka kwangu mwenyewe, toka kwa Vitabu vya dini na baadhi ya watu ambao nawafahamu.
 
Tunasubiri hilo somo...kwa elimu maalum niliyonayo, kivuli na nyota ni mambo mawili tofauti ila nasubiri kujifunza maana elimu ni bahari.
 
Kivuli ni kile unachokijua, Nyota sio jina la Mtu, ila Nyota ni wewe mwenyewe, Nyota ndo Hatima yako, Nyota ni kitu ambacho kinaonekana kwenye Ulimwengu wa Roho tu, ila kina reflect hata kwenye Maisha ya kawaida....!
Kivuli kinaonekana kwenye Ulimwengu wa Nyama, but kinaweza kuchezewa kwenye ulimwengu wa roho na kisionekane kwenye ulimwengu wa Nyama.

Nyota yako ndo inasema wewe utakua nani Kesho....!

Wachungali wanaweza kujua kuhusu Nyota yako.
Waganga wanaweza kujua kujua kuhusu Nyota yako.
Wachawi wanaweza kujua kuhusu Nyota yako.
Majini wanaweza kujua kuhusu Nyota yako.

Watu wenye Nguvu za Kiroho wakitaka kuharibu Future yako, hawahangaiki na mwili wako, wanahangaika na Nyota yako, coz Nyota ni kama Taa yako, ikizimishwa kwenye Ulimwengu wa Roho, inaleta Giza kwenye Ulimwengu wa Mwili, hutosogea tena, otherwise Nguvu nyingine ya Kiroho ama Mchungaji ama yeyote mwenye Nguvu kubwa ya kiroho, Ainasue Nyota yako.

Ama wewe Mwenyewe ukubali kumrudia yeye aliye juu, kwa kufumba na kuomba bila Masikhara.... Japo hii inafanya kazi mara chache.
Ooh naona kipa katoka golini
 
Nimejaribu kuelezea vile nafahamu kiroho, mm sio Mganga wala Mchawi, hayo mambo ya Kioo ni mambo ya kichawi ambayo sina ujuzi nayo!

Nilichoelezea kuhusu Kivuli na Nyota, ni kwa uzoefu toka kwangu mwenyewe, toka kwa Vitabu vya dini na baadhi ya watu ambao nawafahamu.
Kitabu gani .. umesoma kinasema kivuli sio nyota. Kaulize tena wataalamu wa nyota
 
๐Ÿ‘‰Tambua ushaibiwa nyota yako.

๐Ÿ‘‰ Umepoteza nuru yako binafsi.

๐Ÿ‘‰ Umepoteza uwezo wako binafs.

๐Ÿ‘‰ Hufanyi kitu bila kuwaza mashariti.

๐Ÿ‘‰ Una mahamuzi sahihi kuhusu changamoto zinazokukabili.

๐Ÿ‘‰ Tambua kivuli chako ndo nyota yako (kitaalamu) so kivuli chako kikifunikwa hapo huwezi fanikiwa chochote.

๐Ÿ‘‰ Ila unaweza kuondoka huko.

โœEndelea kukaa na mimi kwenye page hii.
Waache wenzio
 
Back
Top Bottom