Ninakumbuka kuna familia walikuwa watoto 10, chekechea walikua 3 darasa moja na mtoto wa dada yao mkubwa. Ninadhani hawakuwa wanapata chai nyumbani lile bulgar walikua wanarudia.Hiyo kitu ilikua tamu sana
Utamu wake naukumbuka mpaka leoDaah bulgur ilikuwa tamu sana sema ilikuja kupotea hadi leo sijui inapatikana wapi
Ni tamu sana, nafikiria kufungua mgahawa niweke hiyo kituNinakumbuka kuna familia walikuwa watoto 10, chekechea walikua 3 darasa moja na mtoto wa dada yao mkubwa. Ninadhani hawakuwa wanapata chai nyumbani lile bulgar walikua wanarudia.
Zinaongeza nguvu za kiumeChanjo ambazo hazizuii maambukizi?
Yote hayo uliyasoma au uliyashuhudia?Mleta mada bulgur ulikuja Tanzania katika recession ya 1974-1976, 1980 kulikua na ugali wa Yanga.
Kweli kabisa, wacha tujiandaeKama ulikunywa bulgur chekechea huu ni muda wa kustaafu au kujiandaa na maisha baada ya kustaafu.
Hadi early 80s ilikuwepo, mimi nimekula Shule ya Vidudu(Nursery)Yote hayo uliyasoma au uliyashuhudia?
Nauliza hivyo ili nipay respect kama italazimika!
Mahsus kwa wenye upungufuZinaongeza nguvu za kiume
Soma uzi vizuriAu ndio bumunda
Ni ukweliHadi early 80s ilikuwepo, mimi nimekula Shule ya Vidudu(Nursery)