lossoJR
JF-Expert Member
- Oct 11, 2012
- 2,711
- 2,384
Kwa ufupi,Me nakumbuka, miaka ya 90's baada ya misukosuko kadhaa ya kifamilia nikajikuta nipo mikononi kwa mjomba wangu,
Kwavile nilikuwa bado sijapata uhamisho wa shule, basi Mtoto wa kiume nilikua kama house girl  , vyombo,nguo,usafi ulikua nashurutika,lakini ukiangalia watoto tulikuwa wengi japo Mimi niliwazidi kidogo,ukiwagusa kidogo ili washiriki usafi sauti kutoka juu ilikuwa inawatetea kwakusema huoni hao ni wanafunzi wanahitaji kujisomea!!??
Nakumbuka mengi, vipigo,matusi na hata kejeli,
Kuna siku mtoto wa uncle niliekuwa nalala nae,alikojoa kitandani,lakini cha ajabu asubuhi niliwashiwa moto Mimi kua, mtoto wao hajawahi kojoa hivyo Mimi ndio ninachakaza godoro  ,nikahamishiwa kwenye mkeka.lakini yote hayo ilikuwa ukimueleza uncle,nikama alishikwa masikio,maana alikuwa anamuogopa sana mkewe,hasa alivyo mkali maana alikuwa anaweza muwashia moto hata yeye bila kujali kadamnasi.
Tupe uzoefu wako pengine,ili isaidie kuongeza nguvu na msukumo katika kuwatengenezea watoto zetu maisha yao ya baadae,bila kuja kukumbana na changamoto za kutunzwa na ndugu.