Kwa wale tuliolelewa kwa ndugu,tukutane hapa na kukumbushana changamoto,chuki na mateso.

lossoJR

JF-Expert Member
Joined
Oct 11, 2012
Posts
2,711
Reaction score
2,384
Kwa ufupi,Me nakumbuka, miaka ya 90's baada ya misukosuko kadhaa ya kifamilia nikajikuta nipo mikononi kwa mjomba wangu,
Kwavile nilikuwa bado sijapata uhamisho wa shule, basi Mtoto wa kiume nilikua kama house girl  , vyombo,nguo,usafi ulikua nashurutika,lakini ukiangalia watoto tulikuwa wengi japo Mimi niliwazidi kidogo,ukiwagusa kidogo ili washiriki usafi sauti kutoka juu ilikuwa inawatetea kwakusema huoni hao ni wanafunzi wanahitaji kujisomea!!??

Nakumbuka mengi, vipigo,matusi na hata kejeli,
Kuna siku mtoto wa uncle niliekuwa nalala nae,alikojoa kitandani,lakini cha ajabu asubuhi niliwashiwa moto Mimi kua, mtoto wao hajawahi kojoa hivyo Mimi ndio ninachakaza godoro  ,nikahamishiwa kwenye mkeka.lakini yote hayo ilikuwa ukimueleza uncle,nikama alishikwa masikio,maana alikuwa anamuogopa sana mkewe,hasa alivyo mkali maana alikuwa anaweza muwashia moto hata yeye bila kujali kadamnasi.
Tupe uzoefu wako pengine,ili isaidie kuongeza nguvu na msukumo katika kuwatengenezea watoto zetu maisha yao ya baadae,bila kuja kukumbana na changamoto za kutunzwa na ndugu.

a6c7823315015d517c4ea4f7248805b0.jpg
 
Poleni sana mliopitia hayo. Mimi niliishi kwa miaka miwili na watu wasio ndugu zangu na wala hawakuwa na ukaribu ana uhusiano na familia yangu na mimi ni mkristo na wao ni waislam lakini nakiri kuwa mimi ndiye nilikuwa napendwa kuliko watoto wengine. Tulizoeana sana kiasi ilikuwa ngumu wao kuniruhusu niondoke nilipohitaji kufanya hivyo.
Watu wenye roho nzuri bado wapo
 
Aisee unanikumbusha mbali sana ndugu. Huwa sitaki nikumbuke kwa sababu hata sasa ninaandika, machozi yananilenga lenga nikiwa kijana wa kiume.

Nimelelewa na ndugu tofauti tofauti tangu nikiwa mdogo sana baada ya baba kufariki.
Mama hakuwa na upendo sana na watoto wake hivyo alitugawa kwa ndugu ila mimi ndo nililelewa na ndugu wengi.

Treatment niliyoipata, anajua Mungu tu.

Inafikia wakati unaambiwa unakula kama mchwa.

Leo hao waliokuwa wakinitreat hivyo ndo wanataka niwape hela.

Inauma sana.

Nimejifunza, sitaruhusu mke wangu anyanyase mtu yeyote.

Machungu yake ni mabaya sana na upendo hupotea
 
Kwa ufupi,Me nakumbuka, miaka ya 90's baada ya misukosuko kadhaa ya kifamilia nikajikuta nipo mikononi kwa mjomba wangu,
Kwavile nilikuwa bado sijapata uhamisho wa shule, basi Mtoto wa kiume nilikua kama house girl  , vyombo,nguo,usafi ulikua nashurutika,lakini ukiangalia watoto tulikuwa wengi japo Mimi niliwazidi kidogo,ukiwagusa kidogo ili washiriki usafi sauti kutoka juu ilikuwa inawatetea kwakusema huoni hao ni wanafunzi wanahitaji kujisomea!!??

Nakumbuka mengi, vipigo,matusi na hata kejeli,
Kuna siku mtoto wa uncle niliekuwa nalala nae,alikojoa kitandani,lakini cha ajabu asubuhi niliwashiwa moto Mimi kua, mtoto wao hajawahi kojoa hivyo Mimi ndio ninachakaza godoro  ,nikahamishiwa kwenye mkeka.lakini yote hayo ilikuwa ukimueleza uncle,nikama alishikwa masikio,maana alikuwa anamuogopa sana mkewe,hasa alivyo mkali maana alikuwa anaweza muwashia moto hata yeye bila kujali kadamnasi.
Tupe uzoefu wako pengine,ili isaidie kuongeza nguvu na msukumo katika kuwatengenezea watoto zetu maisha yao ya baadae,bila kuja kukumbana na changamoto za kutunzwa na ndugu.

a6c7823315015d517c4ea4f7248805b0.jpg
Nashauri mkutane ili mupange namna ya kuwashukuru. Hata mngelelewa na wazazi huenda mngekutana na hayo mliyopangiwa
 
[emoji2] [emoji2] [emoji2] kwel kuish kwa ndugu wachache sana walioishi kwa raha ila weng wetu kama ulivyosema mkuu unaishi kama house girl ...yan unaishi huku moyo wako unakuuma kwel kwa unavyofanyiwa ila huna la kusema sababu huna pa kwenda ...hayo maisha sitak hata kuyaskia kwa wtt wangu ndo maana namuomba mungu anipe uhai niwakuze wanangu wakiwa na baba na mama ...happy family [emoji2]
 
Kwel kama mimi nawashukuru sana mana wamenijenga kiakil sana nahic kuliko ningeish na wazaz wangu na nnawapenda mpk kesho sababu yaliyopita yamepita uzur zaid wamenipa elimu ambayo inanisaidia mpk leo hii
 
pamoja na hayo yote ila kuna mema pia tunapata. Kama kupewa hifadhi na sehemu ya kuishi, kupelekwa shuleni na kupata elimu, pia zipo faida nyingi siwezi kuziandika zote. Cha muhimu tusipende kuangalia upande mmoja wa kero na tukasahau kuwa bila hao ndugu labda tusinge fika hapa. kuna wengine tulikuwa na wazazi ila tulilelewa na ndugu, je huoni kama hapo walitutakia mema?. So usipende kulalamika sana maana jukumu la kukuandalia maisha ni la baba yako na mama yako, kwa kuwa ndugu nao wana watoto wao ambao inabidi wapate maisha mazuri.
 
mi huwaga inaniuma sana kukuta mtu anamlaumu ndugu aliye lelewa nae. hakumbuki hata fadhila alizo fanyiwa. bora hata kama alikukera ukae kimya maana kuna mazuri pia alikufanyia.
Sometime wanakuwa wazushi..n watu wakulalamika!kuna mmoja namjua vema!kasomeshwa na kula kwa miaka yote kuanzia form one mpk chuo!sasa hivi ana maisha mazuri!eti analalama alikuwa ananyanyaswa!ela zinampa jeuri!
 
Nilianza kulelewa na ndugu wa upande wa baba angu, Nimemjua mama angu baada ya kupata akili zangu, nikagundua kinachosumbua watoto wanaolelewa na ndugu/mtu baki ni inferior complexity (psychological problems)ile hali ya kuhisi kuonewa onewa tu kwa kila jambo lakini ,(though wapo walezi wenye kuonea watoto wasio wao) ila mara nyingi mtoto asiye wako akili yake mda wote inawaza kuonewa onewa tu, ukimtuma kazi ataona kama umemuonea, akikosea ukamsema atafeel the same way, etc

Swali , Je hakuna wazazi wanaowapiga au kuwapa adhabu watoto zao??

[emoji1426][emoji1426]Hii akifanya mtu ambae sio mzazi wako utahisi 100% umeonewa na utalia sana tofauti na akikuadhibu mzazi wako baada ya muda utasahau.
 
Sometime wanakuwa wazushi..n watu wakulalamika!kuna mmoja namjua vema!kasomeshwa na kula kwa miaka yote kuanzia form one mpk chuo!sasa hivi ana maisha mazuri!eti analalama alikuwa ananyanyaswa!ela zinampa jeuri!

Well said mkuu
 
pamoja na hayo yote ila kuna mema pia tunapata. Kama kupewa hifadhi na sehemu ya kuishi, kupelekwa shuleni na kupata elimu, pia zipo faida nyingi siwezi kuziandika zote. Cha muhimu tusipende kuangalia upande mmoja wa kero na tukasahau kuwa bila hao ndugu labda tusinge fika hapa. kuna wengine tulikuwa na wazazi ila tulilelewa na ndugu, je huoni kama hapo walitutakia mema?. So usipende kulalamika sana maana jukumu la kukuandalia maisha ni la baba yako na mama yako, kwa kuwa ndugu nao wana watoto wao ambao inabidi wapate maisha mazuri.

Words
 
Kwel kama mimi nawashukuru sana mana wamenijenga kiakil sana nahic kuliko ningeish na wazaz wangu na nnawapenda mpk kesho sababu yaliyopita yamepita uzur zaid wamenipa elimu ambayo inanisaidia mpk leo hii
Walau umejua ndani ya ubaya kuna uzuri pia
Asante kwa kushukuru
 
Aisee unanikumbusha mbali sana ndugu. Huwa sitaki nikumbuke kwa sababu hata sasa ninaandika, machozi yananilenga lenga nikiwa kijana wa kiume.

Nimelelewa na ndugu tofauti tofauti tangu nikiwa mdogo sana baada ya baba kufariki.
Mama hakuwa na upendo sana na watoto wake hivyo alitugawa kwa ndugu ila mimi ndo nililelewa na ndugu wengi.

Treatment niliyoipata, anajua Mungu tu.

Inafikia wakati unaambiwa unakula kama mchwa.

Leo hao waliokuwa wakinitreat hivyo ndo wanataka niwape hela.

Inauma sana.

Nimejifunza, sitaruhusu mke wangu anyanyase mtu yeyote.

Machungu yake ni mabaya sana na upendo hupotea
Doh pole sana mkuu,bt ndio maisha
 
[emoji2] [emoji2] [emoji2] kwel kuish kwa ndugu wachache sana walioishi kwa raha ila weng wetu kama ulivyosema mkuu unaishi kama house girl ...yan unaishi huku moyo wako unakuuma kwel kwa unavyofanyiwa ila huna la kusema sababu huna pa kwenda ...hayo maisha sitak hata kuyaskia kwa wtt wangu ndo maana namuomba mungu anipe uhai niwakuze wanangu wakiwa na baba na mama ...happy family [emoji2]
Pambana juu ya watoto kama umebalikiwa mkuu,hali Si njema tukiiaga dunia
 
pamoja na hayo yote ila kuna mema pia tunapata. Kama kupewa hifadhi na sehemu ya kuishi, kupelekwa shuleni na kupata elimu, pia zipo faida nyingi siwezi kuziandika zote. Cha muhimu tusipende kuangalia upande mmoja wa kero na tukasahau kuwa bila hao ndugu labda tusinge fika hapa. kuna wengine tulikuwa na wazazi ila tulilelewa na ndugu, je huoni kama hapo walitutakia mema?. So usipende kulalamika sana maana jukumu la kukuandalia maisha ni la baba yako na mama yako, kwa kuwa ndugu nao wana watoto wao ambao inabidi wapate maisha mazuri.
Hatukatai mazuri yapo mkuu,bt nia ili kuwa ni zile changamoto
 
Aisee unanikumbusha mbali sana ndugu. Huwa sitaki nikumbuke kwa sababu hata sasa ninaandika, machozi yananilenga lenga nikiwa kijana wa kiume.

Nimelelewa na ndugu tofauti tofauti tangu nikiwa mdogo sana baada ya baba kufariki.
Mama hakuwa na upendo sana na watoto wake hivyo alitugawa kwa ndugu ila mimi ndo nililelewa na ndugu wengi.

Treatment niliyoipata, anajua Mungu tu.

Inafikia wakati unaambiwa unakula kama mchwa.

Leo hao waliokuwa wakinitreat hivyo ndo wanataka niwape hela.

Inauma sana.

Nimejifunza, sitaruhusu mke wangu anyanyase mtu yeyote.

Machungu yake ni mabaya sana na upendo hupotea
Pole sana,

Ila nikukumbushe na kukusisitiza.

" Samehe, ili uishi salama zaidi "
 
Back
Top Bottom