Kwa wale tuliolelewa kwa ndugu,tukutane hapa na kukumbushana changamoto,chuki na mateso.

Kwa wale tuliolelewa kwa ndugu,tukutane hapa na kukumbushana changamoto,chuki na mateso.

Hii mada ni nyeti sana mtoa mada nakupongeza, hata mimi siku nyine nitarudi kuelezea historia yangu kwa ufupi
 
NDIYO MAANA MNASHAURIWA KUVUMILIANA KWENYE NDOA ZENU HUKO ILI WATOTO WENU WASIHANGAIKE.

NI WANAWAKE WACHACHE MNO WANAWEZA KUMPENDA MTOTO AMBAYE HAJAMZAA YEYE HALAFU SYO NDUGU WA UPANDE WAKE.
 
Back
Top Bottom