Kwa wale tuliopo sekta ya uuzaji wa madini ujenzi na product zake tukutane hapa......

King Loto

JF-Expert Member
Joined
Nov 28, 2018
Posts
1,581
Reaction score
1,357
Soko saivi kwenu limekaaje? Maana wengine hizi Kodi na uhaba wa soko unatupa wakati mgumu......Nasubiri mtete kitu hapa kuipa hii thread nyama zaidi.
 
Nataka kuagiza jaw crusher ya kusaga mawe kutengeneza kokoto.. ndogo tuu ya 2 tonnes per hour.. Hii ni baada ya kuona mikoani kokoto waaponda kwa mkono na soko ni kubwa.. Sema bado nawaza kodi itakavyokua..

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Jaw crusher ndogo in 3t/h. Unaagiza wapi wakati bongo yapo mengi tu?. Niliwahi kuifanya biashara hii 2015/2016 kisha nikaachana nayo. Crusher itakugarimu kama 10mill complete.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…