Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Feldspar, tanga stone, travertine? au unamaanisha mchanga na kokotoSoko saivi kwenu limekaaje? Maana wengine hizi Kodi na uhaba wa soko unatupa wakati mgumu......Nasubiri mtete kitu hapa kuipa hii thread nyama zaidi.
Mchanga na kokoto... Pamoja na products kama cements, gypusum, tails, n.k. Pia madini chuma nondo na flatbars, ongeza na aluminium....Feldspar, tanga stone, travertine? au unamaanisha mchanga na kokoto
Sent using Jamii Forums mobile app
Jaw crusher ndogo in 3t/h. Unaagiza wapi wakati bongo yapo mengi tu?. Niliwahi kuifanya biashara hii 2015/2016 kisha nikaachana nayo. Crusher itakugarimu kama 10mill complete.Nataka kuagiza jaw crusher ya kusaga mawe kutengeneza kokoto.. ndogo tuu ya 2 tonnes per hour.. Hii ni baada ya kuona mikoani kokoto waaponda kwa mkono na soko ni kubwa.. Sema bado nawaza kodi itakavyokua..
Sent using Jamii Forums mobile app
Jaw crusher ndogo in 3t/h. Unaagiza wapi wakati bongo yapo mengi tu?. Niliwahi kuifanya biashara hii 2015/2016 kisha nikaachana nayo. Crusher itakugarimu kama 10mill complete.
Sent using Jamii Forums mobile app