Mungu awarehemuPole sana mkuu,namshukuru Mungu mama yupo mzima ila baba zaidi ya kumuangalia kwenye picha sina njia nyengine.
Mzee wangu kulingana na kumbukumbu nilizopewa alipotea duniani nikiwa na 1½ year akiwa aged 36.
Mungu awarehemu!
Sent using Jamii Forums mobile app
Tuache kuwakumbuka?Kukumbushana machungu tu.
[emoji124][emoji124][emoji124][emoji124][emoji124]
Yani ulivyoandika kama umeniona mimi, roho zao zipumzike mahala pema penye kheri[emoji120]Mama yangu pumzika kwa amani umefariki zamani kabla hata sijafaidi upendo wa mama,Usihofu huko uliko nimekuwa binti mkubwa sasa na naamini dunia inafurahi kuwa na mtu kama mimi[emoji119]
Sent using Jamii Forums mobile app