Kwa wale tuliopteza wazazi wetu, tupeane pole hapa, nikikumbuka moyo unaniuma sana.

Kwa wale tuliopteza wazazi wetu, tupeane pole hapa, nikikumbuka moyo unaniuma sana.

Mama yangu pumzika kwa amani umefariki zamani kabla hata sijafaidi upendo wa mama,Usihofu huko uliko nimekuwa binti mkubwa sasa na naamini dunia inafurahi kuwa na mtu kama mimi[emoji119]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom