La Quica
JF-Expert Member
- Dec 19, 2017
- 1,009
- 2,315
Wakuu naomba kuuliza.
Hii kauli ya kusoma Cuba ime trend sana mitandaoni. Unfortunately mimi sio mtumiaji wa mitandao sana. Huwa natumia JF na pia JF huwa sio regular user, naweza kupotea miezi hata mwaka ndio nikaja tena kutumia.
Huu msemo wa kusoma Cuba nimekuja kuukuta ila huwa natamani kufahamu chanzo chake ni nani/nini/wapi?
Mwenye kufahamu naomba aniambie.