Kwa wale tuliosoma kigurunyembe sekondari tujuane hapa

Kafka Bruno

JF-Expert Member
Joined
Aug 21, 2016
Posts
301
Reaction score
328
Ningependa tujuane wale wanafunzi wote tuliosoma Kigurunyembe sekondari Morogoro mwaka wowote ambao tupo humu Jamii Forums,kama Mimi nilisoma pale kuanzia 1996-1999 karibuni tafadhali
 
Ningependa tujuane wale wanafunzi wote tuliosoma Kigurunyembe sekondari Morogoro mwaka wowote ambao tupo humu Jamii Forums,kama Mimi nilisoma pale kuanzia 1996-1999 karibuni tafadhali
KIGURUNYEMBE.....hahahahaaa kuna issue ilinipeleka kule Moro sehemu inaitwa Forest ndio nikaona jina la hiyo shule, aise nilicheka balaa...kumbe ina product zake humu JF? shkamo KIGURUNYEMBE!
 
Mkishajuana ndo nini? mnataka kutambika?

Shyeeeh...!!! Majina mengine ya shule yanaweza kukufelisha kwa kweli.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…