Kafka Bruno
JF-Expert Member
- Aug 21, 2016
- 301
- 328
Ningependa tujuane wale wanafunzi wote tuliosoma Kigurunyembe sekondari Morogoro mwaka wowote ambao tupo humu Jamii Forums,kama Mimi nilisoma pale kuanzia 1996-1999 karibuni tafadhali
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Asante mkuuNawatakia mjuano mwema...
KIGURUNYEMBE.....hahahahaaa kuna issue ilinipeleka kule Moro sehemu inaitwa Forest ndio nikaona jina la hiyo shule, aise nilicheka balaa...kumbe ina product zake humu JF? shkamo KIGURUNYEMBE!Ningependa tujuane wale wanafunzi wote tuliosoma Kigurunyembe sekondari Morogoro mwaka wowote ambao tupo humu Jamii Forums,kama Mimi nilisoma pale kuanzia 1996-1999 karibuni tafadhali