Kwa wale tuliowahi kula michango, tukutane hapa

Kwa wale tuliowahi kula michango, tukutane hapa

ommytk

JF-Expert Member
Joined
Jul 30, 2015
Posts
520
Reaction score
1,143
Hela bwana Shetani sana hahahaah, hivi kuna mtu umewahi kukusanya mchango hata wa msiba tu halafu usichomoe hata 10,000 yaaani lazima itakuja kishawishi tu utachomoa sijui kwanini!

Hivi kuna mtu ambaye hajawahi hata siku moja umechangisha hata kuchomoa kidogo?
 
Hela bwana Shetani sana hahahaah, hivi kuna mtu umewahi kukusanya mchango ata wa msiba tu alafu usichomoe ata 10000 yaaani lazima itakuja kichawishi tu utachomoa sijui kwanini!

Hivi kuna mtu ambaye hajawahi hata siku moja umechangisha ata kuchomoa kidogo?
Mkuuu acha tu aseeee
 
Wakati wa mahesabu unafanyaje ukidokoa hiyo pesa mfano ya msiba???

Mi nilijua michango unayochangisha zaid ya mwezi labda umeteuliwa ukusanye michang ya harusi au vikoba vya mtaani halafu ukasema ngoja nitumie hii laki au elfu 50 siku zikikaribia nitajazia.

Siku inawadia huna na ukikumbuka wajumbe walivyo makini unataman inyeshe mvua ya mawe wajumbe wasifike kikaon.

Mimi imenitokea nikikula mchango wa ukoo, siku imefika pesa ya ku top up haipo.!
 
Back
Top Bottom