Kwa wale tuliowahi kwenda kwa waganga wa kienyeji, tukutane hapa

Namba ya babu pls
Yuko wapi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kama ni kweli hujawahi kukanyaga huko ni vizuri sana! Endelea kushikilia msimamo huohuo ila maisha hayana formula na hujafa hujaumbika
Mkuu mi nataka kumloga mtu, kwa nia njema lkn, sitaki kumdhuru.
 

Ukikosa Inbox za kuomba number ya Babu uniite mimi Mabeberu
 

kama anaweza tengeneza HIV mbona asitengeneze dawa, acheni kutulaghai kama Mabeberu
 
Kiukweli mie nilikuwa kati ya watu wazito kuamini hayo mambo!
Kuna kipindi nikawa desperate sanaMume wangu alikua na kesi imelala upande wake,

Basi shogaangu akaniitia babu mmoja, yule babu akasoma wee akachukua maji akayafanyia mambo yake, kisha akaondoka!
Ile kesi iliisha kipuuzi sana

Yule babu aliomba ela ya sigara nikampa 10,000 akarejesha 9,000

Ila mpaka leo sielewi kama ni uganga ama sheria ilimaliza ile kesi
 

Atakufuata kutaka malipo umpe penalti yake abutue goli mbili tu....
 
Jandoni ukisharudi hutakiwi kutoa siri kwa yale uliyoyaona huko, ni mwiko mkubwa!!
 
Nawaona tu mnavyodanganya, wengi humu wamezindika nyumba zao ila hawasemi, wapo waliozindika biashara au dawa za kuvuta wateja, hawasemi. Wengine wamepewa dawa za kutuliza wake zao ila wanazuga, hata huko kwenye mpira watu wanaroga mno, ila hawasemi humu. Yapo mengi sana, watu wanahudhuria sana kwa waganga, hasa kipindi hiki cha maisha mminyo. Hebu tufunguke na tuwe wakweli, na si kutudanganya humu wakati wengi wetu ni wahudhuriaji wazuri wa waganga na pia wapo wengi waliofanikiwa hata kwa kuwatoa kafara ndugu na wazazi wao. Wamo humu. Ila wanazuga tuu. Pweza kabisa.
Mimi nshachanjwa sana kipindi nacheza soka, bila hivyo unakuta unacheza mpira kama umebeba gunia la kilo 100.
Haya fungukeni

Sent using Jamii Forums mobile app
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]

Ova

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Haya mambo ni Siri

Ova

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu mim nimependa huo ubunifu tena kwenye nchi za watu nimejikuta kuwaza kuzamia Botswana nikafanye uganga kwa kuwa Nina utaalamu wa ethinobotanic nitatibu ukweli lakini nataka kuweka na vitisho kidogo like matunguri na uwongo kibao..... Yaani full singeli
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…