Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]Loga uwe rais wa Tanzania
Kumbe ulienda kwa mganga ili mziki wako usikike??Mimi binafsi nimeenda kwa mganga wa kienyeji baada ya mzee wangu kuumwa kidonda mguuni kwa miaka miwili mfululizo akiwa analazwa miezi miwili au mitatu kisha anapewa ruhusa anarudi nyumbani wiki moja.
Tulizunguka makanisa yote unayoyajua na usiyoyajua mpaka ndani ya Dar hii, tulienda mpaka kanisa wanaliita la wanigeria huko Kinondoni lakini hollah.
Basi baada ya kuhangaika sana tukapata ushauri twende kwa mganga, ambapo kwa hatua tuliyokuwa tumefikia ilikuwa tuna uwezo wa kufanya lolote ili kuokoa roho ha mzee.
Basi tukaenda kwa mganga, akatueleza shida ilianzishwa na mzee wetu ambaye alimroga mwenzie katika ugomvi wa mashamba hivyo huyo mwenzake alipojua kuwa ni mzee wetu kafanya hivyo ikabidi alipize kisasi. Mganga alichinja mbuzi, akampa damu kidogo mzee kisha akampa dawa ya kunywa na kuoga kwa wiki moja.
Ndani ya siku mbili mzee alisimama mwenyewe na kuanza kutembea, tokea pale niliamini uchawi upo. Mara ya pili nilienda kwasababu ya ishu za kazini, huo mkasa nitawapa badae kidogo.
We umewahi kwenda mganga? Ulikuwa na shida gani? Ulitibiwaje?
Hahahahahahaha hizi chenga kabisa.Natabiri huu utakuwa uzi wa chai tupu
Bangi mbaya sanaKumbe ulienda kwa mganga ili mziki wako usikike??
Pumbavu kabsaa amelaaniwa mtu yule amtegemeae mwanadamu
Ona sasa unavoyumba kimuziki
Mpaka unyooke na Bado
Jamaa nlimuambia asiende huko atapotea hakunisikia Siku hiyo nikamwita na ndugu yake tukamshaur Sana akalazimisha bas tukamwambia uamuz ni wakoBangi mbaya sana
hii script mtafute ray mfanye muviDada mmoja alikuwaga anajifanya mjanja sana eti atongezeki anajifanya clasic, nikabet na jamaa kuwa uyu miye napiga na atakuwa mtumwa kwangu jamaa akasema siwezi basi nikamwambia nikipiga unanipa nini akasema atalipa chumba cha guest siku mbili gharama za chakula maradhi nk itakuwa juu yake, tukakubaliana hiyo pesa ampe mtu ashike, basi jamaa akatoa laki tatu na nusu akampa mwenzetu mmoja hivi, miye nikawaza nikasema uyu dada analinga sana sasa dawa kupiga ndele tu nikaingia mtaa wa pill kwenye kijiwe cha kahawa nikaleta hoja kama kuchikoza mjadala eti jamani hivi mtu tunaweza kwenda kwa mganga muweka sawa mwanamke mkatoka naye kimapenzi nilifanya kusudi ili mzee atakayesema hayo mambo yapo nimbishie ili akisema yanawezekana nimfutae anipeleke uko nikamuweke sawa uyu Dada
Kweli bwana mzee moja akasema mbona kazi ndogo shilingi elfu kumi tu kwa mzee hamdani ukimpa akikutengenezea sawa uyo mwanamke atakutafuta kila siku
Nikasema mzee nipeleke mzee akanipeleka kweli bwana yule Dada nilimgegeda balaa akawa mtumwa wangu na ile laki tatu na nusu ya ubishi ilitumika kugharamia show mzima guest chakula malazi
hahaha hahahahahHuendi mbigun mkuu
Ndio ushafeli