Nehemia Kilave
JF-Expert Member
- Jan 9, 2022
- 1,414
- 3,118
Binafsi pamoja na mapungufu ya Awamu ya tano ambayo baadhi ya wanasiasa wanakiita kipindi cha giza, bado naamini ndio kipindi ambacho mambo mengi ambayo yalionekana magumu yalianzishwa na sasa yanakamilika tunaona manufaa yake.
Hawa watu niliotaja wana sifa zinafanana sana na hayati Magufuli.
Lakini pia wote wanamkubali hayati katika kuipenda Tanzania na hayati Mwenyewe alishamkubali sana Mpina basi twende na hawa.
Kama wataweza kutuelewa na kufanya jambo kwa pamoja itakuwa vizuri sana.
Muwe na kazi njema