Nehemia Kilave
JF-Expert Member
- Jan 9, 2022
- 1,414
- 3,118
Usipende kuamini sana propagandaMpina aliyekuwa anaomba rushwa kwa wavuvi wa samaki akiwa waziri? Kila mvuvi alimuomba 10,000,000 au laa anachoma nyavu zake? Mpina aliyekuwa anakukamata ukibeba samaki mmoja kuoeleka zawadi kwa ndugu zako? Huyu ni sifuri kabisa.
Lissu ni dikteta kuliko hata magufuli, hajapata madaraka tu, hata chadema huko wanamuona kero. Huyo aishie getini kubweka akisikia miguu ya mtu inatembea.
Makonda ni hovyo kabisa, nchi hii ataiharibu, anayofanya sasa ni kuweka mtego ili wajinga wamuamini wampe madaraka. Huyu aliyekuwa anagombania ghorofa na GSM? Nini hicho zaidi ya ufisadi? Sasa ndio umkabidhi hazina ya nchi? Takataka kabisa
Huo ndio ukweliUsipende kuamini sana propaganda
I think una personal issue na pinata,mana every uzi mzee lazima unakuja na shutuma.by the way I simjui mpina in person ukiachana na kumfaham kama ni mbunge ila naona kama unasema alidai rushwa mil 10 kwa wavuv naona kama chai vile, mwandamiz mzima hawez kuji expose hivo believe me,kama mwandamiz labda junior ndio unaweza kuacha trails kiajabu ajabu. Sio kweli braza naona kama unamdiss tuMpina aliyekuwa anaomba rushwa kwa wavuvi wa samaki akiwa waziri? Kila mvuvi alimuomba 10,000,000 au laa anachoma nyavu zake? Mpina aliyekuwa anakukamata ukibeba samaki mmoja kuoeleka zawadi kwa ndugu zako? Huyu ni sifuri kabisa.
Lissu ni dikteta kuliko hata magufuli, hajapata madaraka tu, hata chadema huko wanamuona kero. Huyo aishie getini kubweka akisikia miguu ya mtu inatembea.
Makonda ni hovyo kabisa, nchi hii ataiharibu, anayofanya sasa ni kuweka mtego ili wajinga wamuamini wampe madaraka. Huyu aliyekuwa anagombania ghorofa na GSM? Nini hicho zaidi ya ufisadi? Sasa ndio umkabidhi hazina ya nchi? Takataka kabisa
Ushahidi uko wapi lumumba?Mpina aliyekuwa anaomba rushwa kwa wavuvi wa samaki akiwa waziri? Kila mvuvi alimuomba 10,000,000 au laa anachoma nyavu zake? Mpina aliyekuwa anakukamata ukibeba samaki mmoja kuoeleka zawadi kwa ndugu zako? Huyu ni sifuri kabisa.