Meku's, Hugos, Kili home, Changbay..Kama kichwa cha habari kinavyojieleza december inakaribia wa mikoani tunaenda kupumzika kidogo vijijini. Kwa wale wakwetu kaskazini tujuzane viwanja vya kukutana. Bata linaanzia njia panda
MrinaShivaz
Aina ya madini joto mkuu.Xmass ni ni nini
Umemaliza kila kitu mkuu!!Meku's, Hugos, Kili home, Changbay..
Kahawa tutakunywa pale KNCU..
Heheheee unipitie maeneo ya kwa Alphonse unipe lift.Aisee umenikumbusha raha na hivi nina gari jipya wale ndugu zangu wa kibororoni,majengo kwa mtei,pasua,mnazi mmoja mjiandae kunipokeaaa...maana nimejipanga haswaa tuombe uzimaaππ