Kwa wale tunaoenda xmass december arusha na moshi tuambiazane viwanja vya kukutania

Kwa wale tunaoenda xmass december arusha na moshi tuambiazane viwanja vya kukutania

Aisee umenikumbusha raha na hivi nina gari jipya wale ndugu zangu wa kibororoni,majengo kwa mtei,pasua,mnazi mmoja mjiandae kunipokeaaa...maana nimejipanga haswaa tuombe uzimaa😛😉
 
Binadamu tunajisahau sisi, December mbona bado mbali sana unakufa na tunakusahau
 
Back
Top Bottom