Nadhani hii comment ingesogea kwenye ule uzi wa unakufa. [emoji125]Binadamu tunajisahau sisi, December mbona bado mbali sana unakufa na tunakusahau
Ukiishi kwa kuwaza kufa hutatimiza malengo yako. Watu wanaporomosha mijengo ya billions of Tsh, hawafikirii kufwa coz kufwa kupo. Live for today my man!!Binadamu tunajisahau sisi, December mbona bado mbali sana unakufa na tunakusahau
Sijasema usiwaze, vvp ukitanguliza mungu akipenda si itapendeza, tunakosea kujiwazia kana kwamba tuna uhakika ña kesho yetuUkiishi kwa kuwaza kufa hutatimiza malengo yako. Watu wanaporomosha mijengo ya billions of Tsh, hawafikirii kufwa coz kufwa kupo. Live for today my man!!
HahahahaNadhani hii comment ingesogea kwenye ule uzi wa unakufa. [emoji125]
Nimesikia sirikali haina hela walahi. Kubaki kwako Dar kunathibitisha Lumumba safari hii hamna holiday allowance walahi.Starehe mbele kwa mbele walahi
Mimi nabaki Dar es Salam walahi
Nitawaombea happy and joyful holidays walahi
Ahhh wapi nakaa kwenye the most expensive street in Tanzania na natarajia marafiki kutoka nje ya nchi, mambo ni DYC ndugu yangu uwiiiNimesikia sirikali haina hela walahi. Kubaki kwako Dar kunathibitisha Lumumba safari hii hamna holiday allowance walahi.
Poleni sana walahi.
Most expensive street walahi?Ahhh wapi nakaa kwenye the most expensive street in Tanzania na natarajia marafiki kutoka nje ya nchi, mambo ni DYC ndugu yangu uwiii
Mbinguni ni duniani walahi
Duh lakini naona unashida kweli kweli walahi
Poollleeee walahi
Kama kichwa cha habari kinavyojieleza december inakaribia wa mikoani tunaenda kupumzika kidogo vijijini. Kwa wale wakwetu kaskazini tujuzane viwanja vya kukutana. Bata linaanzia njia panda
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]Aina ya madini joto mkuu.
Nimekugongea LIKE kama huamini nenda kakague...Kama kichwa cha habari kinavyojieleza december inakaribia wa mikoani tunaenda kupumzika kidogo vijijini. Kwa wale wakwetu kaskazini tujuzane viwanja vya kukutana. Bata linaanzia njia panda
Aisee issue ya parking pale ni kwere arifu.Kabla ya Christmass tukutane hapo Mo Town tuamshe, kisha Xmass tukutane chuga Kokoriko Club maeneo ya Kijefenge.