Kwa wale tunaoenda xmass december arusha na moshi tuambiazane viwanja vya kukutania

Kwa wale tunaoenda xmass december arusha na moshi tuambiazane viwanja vya kukutania

Ukiishi kwa kuwaza kufa hutatimiza malengo yako. Watu wanaporomosha mijengo ya billions of Tsh, hawafikirii kufwa coz kufwa kupo. Live for today my man!!
Sijasema usiwaze, vvp ukitanguliza mungu akipenda si itapendeza, tunakosea kujiwazia kana kwamba tuna uhakika ña kesho yetu
 
Nimesikia sirikali haina hela walahi. Kubaki kwako Dar kunathibitisha Lumumba safari hii hamna holiday allowance walahi.

Poleni sana walahi.
Ahhh wapi nakaa kwenye the most expensive street in Tanzania na natarajia marafiki kutoka nje ya nchi, mambo ni DYC ndugu yangu uwiii
Mbinguni ni duniani walahi
Duh lakini naona unashida kweli kweli walahi
Poollleeee walahi
 
Most expensive street walahi?

Basi utakuwa unahongwa sana walahi maana buku saba hiyo hupati hata chumba Tandale walahi!
 
Back
Top Bottom