Mtoto wa Baba
JF-Expert Member
- Sep 1, 2018
- 3,123
- 4,023
Casablanca hata me nitakujaCasablanca
na
Picnic
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Casablanca hata me nitakujaCasablanca
na
Picnic
Rafiki usije naogopa yale macho yako makubwa![emoji1][emoji1][emoji1]Rafiki mm nitakuja
KokorikooooooCasablanca hata me nitakuja
Twende nyumbani weweDaah! Asee I wish ningekuwepo home this Christmas.
Wasahau kambeke u laiDisemba yashka ndefoni kaa dundelya findo fishaa..iokya nyama ya mburu na lager tiki..
Hahahahahahahhaha rafiki nikajua ulishayasahau ...ila usiogope rafiki sitakuwa nakuangaliaRafiki usije naogopa yale macho yako makubwa![emoji1][emoji1][emoji1]
Wasahau kambeke u lai
Nyaanyi se chaa..yaan n mchaga mboru bururuKambeke ni lasma dukanwe..kumbe vave ni mchaka cha nyanyi??
Hahaha..kchaka kii ni kya kaa kabsa,,fumumye andu emu..Nyaanyi se chaa..yaan n mchaga mboru bururu
Hahahahahahahahaha...nyaanyi ngifumye kula mpaken na Kenya..vaave je?Hahaha..kchaka kii ni kya kaa kabsa,,fumumye andu emu..
Ah ah aaaah mkuu kokorikoo ni shida sn.Kabla ya Christmass tukutane hapo Mo Town tuamshe, kisha Xmass tukutane chuga Kokoriko Club maeneo ya Kijefenge.
Parking ndio mziki mnene paleAh ah aaaah mkuu kokorikoo ni shida sn.
Nyanyi mkuu alya kiboro..Hahahahahahahahaha...nyaanyi ngifumye kula mpaken na Kenya..vaave je?
Ni kweli kabisa,mie na rafiki yangu tulikuwa na kirikuu so parking haikusumbua.Ila patamu snaaaParking ndio mziki mnene pale
Hahah na mm ntatafuta kirikuu,aisee amsha amsha ya pale ni balaa sana aisee.Ni kweli kabisa,mie na rafiki yangu tulikuwa na kirikuu so parking haikusumbua.Ila patamu snaaa
Kivipi chalii?Picnic weka mbali na wateja wa kike.....wahudumu wa pale wanatosha.
Pale Liverpool hotelTunaanzia Mombo mpenzi... ni full bata mpk kieleweke
Patamu sn,Hahah na mm ntatafuta kirikuu,aisee amsha amsha ya pale ni balaa sana aisee.
Black Diamond ishakufa?Moshi hakuna mahala kama "REDSTONE" mazee! Iko fully suited up for all the needs, Gambe maeneo ya kuchill na makila kinga!