Kwa wale tunaoenda xmass december arusha na moshi tuambiazane viwanja vya kukutania

Popote tu huku kaskazini ni chimbo kali....ni ndafu na kitimoto kuanzia Monduli mpaka Tarakea ilimradi uoge kwa bia. Uchumi kwetu hautokaa kuyumba...tutaiba mpaka kanisani kwa paroko na masinagogi ya Freemarsons!
Ha haaa eti mtaiba mpaka kanisani lol
 
Za palepale siwez mkuu,sitaenjoy.Acha nikateke kamoja ndo nije nako ili niwe huru.
Hahah na totoz wanaamini machalii wanaokuja Moshi/Chuga "doooo" ipo ya kutosha aisee.

Mteke aje ale maisha.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…