Habar zenu ndgu zangu. napenda kuwafahamisha kile nilchobahatika kukisikia leo kutoka katika chanzo changu cha uhakika. MAJINA NDO YALIKUA YANAPANGWA LEO HIVYO SWALA LA AJIRA LINGALI LIPO JAPO SIKUFANIKIWA KUJUA NI LINI POST ZITATANGAZWA RASMI. Tusikate tamaa wahanga wenzangu MUNGU YUKO MBELE YETU
Asante kwa taarifa mkuu mungu awatupi waja wake
mh! kwenye blue hapo ndio pananchangaya hicho chanzo chako kinahusika na TAMISEMI kabisa ??maana naona kama wanatofautiana hawa watu au sijui wanatudangaya !!!maana mie nlienda jumamosi TAMISEMI ya hapa dodoma wakanambia majina yalisha andaliwa kinacho subiriwa ni ruhusa kutoka hazina na wakanambia inaweza kupatika na baada ya budget kuisha yaan mwezi wa saba au wanane mwanzon sasa hii kitu tena dah!! full kuchanganyanaHabar zenu ndgu zangu. napenda kuwafahamisha kile nilchobahatika kukisikia leo kutoka katika chanzo changu cha uhakika. MAJINA NDO YALIKUA YANAPANGWA LEO HIVYO SWALA LA AJIRA LINGALI LIPO JAPO SIKUFANIKIWA KUJUA NI LINI POST ZITATANGAZWA RASMI. Tusikate tamaa wahanga wenzangu MUNGU YUKO MBELE YETU
mh! kwenye blue hapo ndio pananchangaya hicho chanzo chako kinahusika na TAMISEMI kabisa ??maana naona kama wanatofautiana hawa watu au sijui wanatudangaya !!!maana mie nlienda jumamosi TAMISEMI ya hapa dodoma wakanambia majina yalisha andaliwa kinacho subiriwa ni ruhusa kutoka hazina na wakanambia inaweza kupatika na baada ya budget kuisha yaan mwezi wa saba au wanane mwanzon sasa hii kitu tena dah!! full kuchanganyana
kwakweli tunashukru kwa nyepesi hzo..ila serikali haieleweki.
chanzo changu ni cha kuaminika mkuu. ni sawa unavyosema kua ulienda TAMISEMI DODOMA JUMAMOSI Na uliambiwa kua majina yalikua yameshapangwa tayari ila usiwaamini wale wafanyakazi pale mana wao wanachofanya ni kuhakikisha wanakupa jibu ambalo litakufanya uridhke kwa kiasi ili tu umuondolee usumbufu ofisini kwake. mi binafsi nilishawah kwenda TAMISEMI DAR Na niliambiwa kua niwe na subira ndani ya wiki moja ajira zingekua tayar na ilikua tar 20 mwez wa 3 ebu fikiri ndgu hvyo wale hawaaminiki kabisaj
Habar zenu ndgu zangu. napenda kuwafahamisha kile nilchobahatika kukisikia leo kutoka katika chanzo changu cha uhakika. MAJINA NDO YALIKUA YANAPANGWA LEO HIVYO SWALA LA AJIRA LINGALI LIPO JAPO SIKUFANIKIWA KUJUA NI LINI POST ZITATANGAZWA RASMI. Tusikate tamaa wahanga wenzangu MUNGU YUKO MBELE YETU
Ajira Zipo Ila Siku Na Saa Ndo Haijulikani,, Someni Gazeti La Habari Leo
Ajira Zipo Ila Siku Na Saa Ndo Haijulikani,, Someni Gazeti La Habari Leo
Nimeliona ilo gazeti linasema zaidi ya watu eflu 2 kuajiriwa
wanaajiriwa lini hawajaweka waz zaid. ebu funguka coz wengne tuko shamba hatuna uwezo wa kulpata
masahihisho ni 2219
masahihisho ni 2219
nikweri gazeti la habari Leo la tarehe 4/6/2014 limezungumzia swara hill kuwa watahajiri walimu zaid ya elfu mbili kwaiyo siku yoyote yatatolewa hayo majina