Kwa wale tunaosubiri ajira awamu ya pili

Kwa wale tunaosubiri ajira awamu ya pili

Habar zenu ndgu zangu. napenda kuwafahamisha kile nilchobahatika kukisikia leo kutoka katika chanzo changu cha uhakika. MAJINA NDO YALIKUA YANAPANGWA LEO HIVYO SWALA LA AJIRA LINGALI LIPO JAPO SIKUFANIKIWA KUJUA NI LINI POST ZITATANGAZWA RASMI. Tusikate tamaa wahanga wenzangu MUNGU YUKO MBELE YETU

Mkuu leo bungen wamesema wa sita huu kitaeleweka!
 
ni kweli mkuu kwa mungu hakuna linaloshindikana. Kama pia kuna wahanga au mtu yeyote ambae ana watu wa kuaminika huko wizara ya elimu na tamisemi wajaribu kuwauliza na kuweka majibu humu ili tuweze kua na uhakika zaidi

mambo yakiwawia magumu mnamkumbuka sana mungu,ila mkipata kazi ni pombe na zinaa
 
Back
Top Bottom