wanaajiriwa lini hawajaweka waz zaid. ebu funguka coz wengne tuko shamba hatuna uwezo wa kulpata
Mkuu awajaweka wazi ni lini ila tuwe na subira coz ni tamko la serikali
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
wanaajiriwa lini hawajaweka waz zaid. ebu funguka coz wengne tuko shamba hatuna uwezo wa kulpata
Habar zenu ndgu zangu. napenda kuwafahamisha kile nilchobahatika kukisikia leo kutoka katika chanzo changu cha uhakika. MAJINA NDO YALIKUA YANAPANGWA LEO HIVYO SWALA LA AJIRA LINGALI LIPO JAPO SIKUFANIKIWA KUJUA NI LINI POST ZITATANGAZWA RASMI. Tusikate tamaa wahanga wenzangu MUNGU YUKO MBELE YETU
ni kweli mkuu kwa mungu hakuna linaloshindikana. Kama pia kuna wahanga au mtu yeyote ambae ana watu wa kuaminika huko wizara ya elimu na tamisemi wajaribu kuwauliza na kuweka majibu humu ili tuweze kua na uhakika zaidi
mambo yakiwawia magumu mnamkumbuka sana mungu,ila mkipata kazi ni pombe na zinaa