Kwa wale tunaotembea na waume za watu

Hivi ww dada hujaona vijana wenzako mpaka umchukue mume wa mtu? Nilishakwambia utakuja kukojoa dagaa siku moja we endelea tu.

Hao waume wenyewe hawajui wajibu wao? Hawajui kama ni waume za watu na wanapaswa kujiheshimu na kuwaheshimu wake zao?? Wamelazimishwa kuzifuata hizo nyumba ndogo? Ningekuwa na uwezo ningewakata hizo mbuutu zao, nikauza then pesa nikawagawia hao hao nyumba ndogo......crap!!! Tuone kama mtu ataoa then athubutu kwenda kwa nyumba ndogo!
 
Ivi ukikutana na jamaa ambae umewahi kutembea na mke wake huwa unajickiaje moyon mwako?
 
Hivi hizi mada za "wake za watu" haziwezi kupumzika kodogo? Just asking.
 
We ndo unatakiwa ukome coz umeshajua ana mke hata kama hakukwambia ila si umesha jua? Kwa hyo kaambali na mme wa watu ni sumu tena ukome kabisaaa.
 
Nakiri kuwa nilikuwa najua usemi wa spare tire lakini sikujua unamaliziwaje. Kumbe haliitajiki mpaka itokee pancha au burst. JF imenifundisha mengi.


Lazima una mapungufu kibao ...mwanamke wa ukweli huwezi kuwa spare tire lol...huhitajik ni mpaka itokee burst etc
 
% 99 ya nyumba ndogo zinaleta full nuksi kwenye maisha yetu imenitokea na wengine nawafahamu yamewakuta .Mke wa ndoa ni full baraka.Mnatumiwa na shetani basi tu hamjijui
 
Kama dini inaruhusu c akuoe tu? Kwa nn uitumikie na kuisifu dhambi namna hio. Usolipenda kufanyiwa nawe usifanyie wenzio. Na ukae ukijua yatakurudia tu!
 

imbecile............
 
Nakiri kuwa nilikuwa najua usemi wa spare tire lakini sikujua unamaliziwaje. Kumbe haliitajiki mpaka itokee pancha au burst. JF imenifundisha mengi.

kumbuka ya GX inakaa chini ya gari, vumbi lake, tope lake hadi pancha itokee..... wengine wanawaita majeruhi, ni majeraha mtindo mmoja,
 
mume wa mtu hakufai,nakushauri utafute wako ili usipe kero unazopata kwa huyu wa mtu vinginevyo kubali kero zake, kwanza sio kero yule ni mume wake kilicho mleta kwako ni tamaa tu ndivyo baadhi ya wanaume walivyo na ndio sababu yupo kwako na anakueleza mambo mema ya mkewe ili ujue bado anampenda,ushauri wangu kwako tafuta wako uwe uhuru naye muda wote
 
disgusting.............thats what it is
 
Kweli shostito! kwani ww ulipokubali kua nae si ulijua kama jamaa anamkewe? usijali meza tuu hata kama chungu funga macho...
 
Nawashangaa nyie mnao mzogoa na kumnyooshea vidole mwenzenu bila kujua ni kwanini kaamua kufanya hivyo labda kuna kitu anakikosa kwa mume wake au ana yake tu lakini pia kama unataka kumsaidia mtu usimwendeekwa fujo namna hiyo sema nae taratibu thwn atakwambia kwanini anatembea na mume wa mtu then ndo ujue namna ya kumsaidia ni hayo tu guyz!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…