Ave Ave Maria
JF-Expert Member
- Apr 22, 2011
- 10,707
- 5,678
Hivi ww dada hujaona vijana wenzako mpaka umchukue mume wa mtu? Nilishakwambia utakuja kukojoa dagaa siku moja we endelea tu.
Hao waume wenyewe hawajui wajibu wao? Hawajui kama ni waume za watu na wanapaswa kujiheshimu na kuwaheshimu wake zao?? Wamelazimishwa kuzifuata hizo nyumba ndogo? Ningekuwa na uwezo ningewakata hizo mbuutu zao, nikauza then pesa nikawagawia hao hao nyumba ndogo......crap!!! Tuone kama mtu ataoa then athubutu kwenda kwa nyumba ndogo!