nyumba kubwa
JF-Expert Member
- Oct 8, 2010
- 10,309
- 8,379
inawezekana wa kwako akiwa nje anasahau kabisa kama nyumbani ameacha mke. Lol.
bata anaharisha, kuku anakunya lakini vyote ni vinyesi.
Thubutu! Alichosema NE kime confirm my assumptions tu; ninajua nasifiwa popote. Lol.
Thubutu! Alichosema NE kime confirm my assumptions tu; ninajua nasifiwa popote. Lol.
Nashanga! Inahu? Kwa raha zetu wanaume wenyewe wachache afu hao walooa washafunzwa kuoga sasa ya nini nikahangaike kufunza mtu kuoga wakati kunaambaye kishaoshwa?
Khaaa! Kongosho umepinda walah tena...lolNashanga! Inahu? Kwa raha zetu wanaume wenyewe wachache afu hao walooa washafunzwa kuoga sasa ya nini nikahangaike kufunza mtu kuoga wakati kunaambaye kishaoshwa?
Basi kero ni pale anapokuwa safarini nje ya nyumbani...simu za usiku haziishi ila katkati ya stori utamsikia...shogako anapiga kata kwanza niongee nae!ntakupigia!.....inahusu?...jamani inaboa
Licha yakujiiba kwanza ni dhambi na humpati wakati wowote ukimwitaji ni bora ujitjaftie wako utakae kuwa nae wakati wowote na utakuwa na uhakika wakuwa safe zaidi
Kumbe na JF nayo imekuwa danguro?! Mara nyingine nashindwa kuelewa wanawake wanaposema wanadhalilishwa, wakati upo muda wanapenda kujidhalilisha wenyewe. Hivi unawezaje kujisifia umalaya? Kwa hiyo kwako ni sifa kutembea na mume wa mtu kiasi unaweza kuja kujisifia hapa na kujadili as if unafanya jambo la maana saana kwa jamii yako.
Shame on you bitches!
hivi BAADHI ya wanawake wataendelea kutumika hivi kama toilet paper hadi lini? Anapomsifia mkewe kwako ujue kakuona huna thamani, ni toi la kutumia na kutupa! Jithamini.
Usisahau cha mtu mavi
hivi BAADHI ya wanawake wataendelea kutumika hivi kama toilet paper hadi lini? Anapomsifia mkewe kwako ujue kakuona huna thamani, ni toi la kutumia na kutupa! Jithamini.
Usisahau cha mtu mavi
hey hey hey, hold your horses brother!!! Ni mammbo ya kawaida sana hayo na yanafanyika sana
sema kabisa ni sawa na pedi, kabla haijatumika ni ya dhamani, ikishatumika inatupwa