Kongosho
JF-Expert Member
- Mar 21, 2011
- 35,991
- 24,211
Ha ha ha povu la nini?
Tena nyie wakali hivi ndio huwa wazuri sana kuwafanya small house na gharama zenu huwa ni Castle light tu.
Sijui wanawake wakoje, walopnda wote huwa ni wakali kweli wakiulizwa mambo ya mahusiano hadharani hadi umuweke kona.
Naona hata hapa jf no exception trend ni ile ile.
Niliwahi fanya research wanawake waliokuwa na wapenzi zaidi ya 2 at per waote hawakusema ukweli kwenye Face to face interview, walikuja sema ukweli kwenue dodoso walizokuwa wanajaza wenyewe kwenye chumba peke yake.
Wavulana walisema hata kama anao 100, kote dodoso zake zote zilifananana.
Some women are fakest creature ever kila mtu anataka aonekane geti kali hata wa kwa mtogole
.

Kumbe na JF nayo imekuwa danguro?![/B
umalaya? Kwa hiyo kwako ni sifa kutembea na mume wa mtu kiasi unaweza kuja kujisifia hapa na kujadili as if unafanya jambo la maana saana kwa jamii yako.
Shame on you bitches!