Kwa wale tunaotembea na waume za watu

Kwa wale tunaotembea na waume za watu

Ha ha ha povu la nini?
Tena nyie wakali hivi ndio huwa wazuri sana kuwafanya small house na gharama zenu huwa ni Castle light tu.

Sijui wanawake wakoje, walopnda wote huwa ni wakali kweli wakiulizwa mambo ya mahusiano hadharani hadi umuweke kona.

Naona hata hapa jf no exception trend ni ile ile.
Niliwahi fanya research wanawake waliokuwa na wapenzi zaidi ya 2 at per waote hawakusema ukweli kwenye Face to face interview, walikuja sema ukweli kwenue dodoso walizokuwa wanajaza wenyewe kwenye chumba peke yake.

Wavulana walisema hata kama anao 100, kote dodoso zake zote zilifananana.

Some women are fakest creature ever kila mtu anataka aonekane geti kali hata wa kwa mtogole

.
Kumbe na JF nayo imekuwa danguro?![/B
umalaya? Kwa hiyo kwako ni sifa kutembea na mume wa mtu kiasi unaweza kuja kujisifia hapa na kujadili as if unafanya jambo la maana saana kwa jamii yako.

Shame on you bitches!
 
Uzoefu unaonyesha mabinti wengi sana wanapenda kutembea na waume za watu, aidha sababu ya maslahi ama wakati mwengine kunakuwa na mapenzi ya kweli. Yani you happen to fall in love with somebody's husband. Mimi ni
mdau pia ninae mume wa mtu.





Ila kuna kitu kimoja huwa kinauma sana wakati uko sasa na mpenzi wako (Mume wa mtu) ana anza mashauzi mara aaa

1. Jana nilienda na mama dinner
2. Mara jana nilivyokuwa home sijui wife kasema hivi
3. Mara sijui ngoja wife ananipigia
4. Mara sijui wife kasafiri

Acheni kupiga story za wake zenu kwani wakati unakuja kwangu hukujuwa kama una mke. Mkomeeeeeeeeeeeeeeeeee.


Taratibu ndugu jaribu kumkumbuka Mungu.
Hapa duniani usiishi kama ndio umeshafika,kumbuka We are here for a moment.
 
duuhhh
Tafuta wakwako na we uwe free..
awe anaongea kuhusu wewe na we ujitambe.
ahhhh umeiba mali ya mtu bado walalamika ..pole mamake.
 
Kichwa cha mada unawaadress wanaotembea na waume za watu wakati ujumbe unawaambia wanaume hao!! Mh napita tu
 
Kichwa cha mada unawaadress wanaotembea na waume za watu wakati ujumbe unawaambia wanaume hao!! Mh napita tu
umeona eeeh,hawa ni vilaza,akili zao ndogo zinawafanya wakubali kutumiwa na hao vilaza wenzao
 
Kichwa cha mada unawaadress wanaotembea na waume za watu wakati ujumbe unawaambia wanaume hao!! Mh napita tu

nice observation! Nafikiri alitaka support ya OW kuwaattack wanaume. Nilitegemea gang ya kina TB, Qn, ASA, TF wangekuja naona wameogopa vita za Mazahausis! LOL
 
umeona eeeh,hawa ni vilaza,akili zao ndogo zinawafanya wakubali kutumiwa na hao vilaza wenzao

Well said esp pale VILAZA WENZAO! My issue ni kwa baadhi ya watu kuwaacha nje wanaume kwenye hii case wakati inawahu 101%, u can't rape a man u know na worse still yeye ndiye (most of the time) anafinance the cheating process na management!
 
umeona eeeh,hawa ni vilaza,akili zao ndogo zinawafanya wakubali kutumiwa na hao vilaza wenzao

Ila hujawahi kufikiria kuwa hawa vilaza wanawaTUMIA hawa vilaza wenzao (wanaume wetu)??
Labda tukofikiria kwa mtindo huu twaweza badilisha stratergy ya kuwaattack both vilazas? Just thinking!
 
Kwanza nimesikia hao wanaopenda nyumba ndogo wanazitumi kama sehemu za kufanya mambo ambayo hawawezi kuwafanyia mke wake mathalani ufiraji.
Kwa mantiki hiyo nyuma ndogo nyingi aidha wameingia katika mabishano makali juu ya mambo haya na baadae kwa shingo upande kuishia kufanyiwa usodoma kwa kuendekeza misaada ambayo si lazima ukitoe utu wako.
Na uzoefu unaonyesha wanaume wanakuwa wapo makini sana na nyumba ndogo kwa kuwa wanaingia gharama kubwa sana.

Mbona hata hao ma wife zenu wanatoa sana tu tigo ni kwamba tu nyie ze husband ndio hampewi.
 
Uzoefu unaonyesha mabinti wengi sana wanapenda kutembea na waume za watu, aidha sababu ya maslahi ama wakati mwengine kunakuwa na mapenzi ya kweli. Yani you happen to fall in love with somebody's husband. Mimi ni mdau pia ninae mume wa mtu.

Ila kuna kitu kimoja huwa kinauma sana wakati uko sasa na mpenzi wako (Mume wa mtu) ana anza mashauzi mara aaa

1. Jana nilienda na mama dinner
2. Mara jana nilivyokuwa home sijui wife kasema hivi
3. Mara sijui ngoja wife ananipigia
4. Mara sijui wife kasafiri

Acheni kupiga story za wake zenu kwani wakati unakuja kwangu hukujuwa kama una mke. Mkomeeeeeeeeeeeeeeeeee.

Na wewe mlazimu akutukanie mkewe!
 
ha ha ha ha, tatizo ni hao waume za watu wenyewe unaowataja ni wanaume kama mabinti ndo mana wanawala tigo. We go for real men, if u know what i mean

hawa ni wapuuzi kabisa,nyambafu zao,vinega wakubwa. Papaa Msoffe ana kauli moja ''huwezi kunipatia kitu ambacho mke wangu nimemwacha nacho na ndicho anachonipatia, hivyo nipe kitu tofauti na ninachopata kwa wife'' means mpe mtandao wa tigo. Nyumba ndogo nyingi zinaliwa tigo,so NE na Kongosho nina wasiwasi saaana na usalama wa mitandao yenu ya ........
 
wala usijali, hawa hawa leo wanao ku-crucify utakutwa wamebanwa kwenye vikona gizani gizani, wanawake wa sinza mna mambo lakini wakiwa mbele za watu kujidai holier that Thou

hey hey hey, hold your horses brother!!! Ni mammbo ya kawaida sana hayo na yanafanyika sana
 
Hivi ww bibie, haya ndo malezi unayompa mateka wako? Sio atakata kamba sasa? Karibu supu ya utumbo wa mbuzi wa kuchoma, leo ni leo! Nyuma ndogo mtamsikia manake funguo nnazo kibindoni!
ha ha ha ha, tatizo ni hao waume za watu wenyewe unaowataja ni wanaume kama mabinti ndo mana wanawala tigo. We go for real men, if u know what i mean
 
Ha ha ha, call a spade spade, hata mie nashangaa kutwa kucha tunasifia infidelism, afu mwanamke akisema yeye ni small housi watu wote wanamsulubu? It does not make sense.
Mfumo dume umeingia hadi kwenye vichwa vya wamama.

At least NE umekua na courage ya kuongea. Manake wanaume wote wanaosifia infidelity,sijui huwa wanafanya na nani? Ama wanafanya na wake za watu tu? Kupanga ni kuchagua mamaa,hongera sana. Japo unajizibia baraka zao ila maadam faithful keshasema unakua nao 5,natumaini kuna walau mmoja ambae yuko single mwenye uwezekano wa kumilikishwa.
Mh sana, The Boss originale, high time u edited ur copyrighted sheria za infidelity. Muwe mnawaconsider watoto wa watu banaa,walau msisifie wake zenu na kuongelea dinner and shopping treats.
 
Hata small hausi inamtumia kimwili, is it not a two way thing? Si ni wote wanatumiana kimwili? Au mie sielewi nini hapa?
On top small hausi anamtumia na ki-ATM.

Na mara nyingi smll hausi wanakuwa na vidumu, vibati, vibajaj na vinginevyo vingi tu.

ila nyie warembo mnafurahisha sana ,ukiona hivo jua wewe unatumiwa tu ili kutimiza tamaa zake za kimwili,ila kiroho yupo pamoja na wife wake,
Kuna mmoja yeye alikuwa analalamika mwanamme gani huyu kila siku nikiwa nae anamsifia mkewe tu...hahahaha
 
Nimem-quote 'faithful' hapo. Lakini kwa akili ya haraka ni muhimu ili waweze ku-cope na stress. Manake si unajua mke akiweka mguu chini, ama mtoto akiumwa huko kwenye small house inakula kwake? Sasa pata picha mtoto wa watu kaandaa kiwalo na hisia kua walau leo mume wa mtu anamtoa kaouting ka kuvizia afu anapata sms 'can't make it. Will call kesho', nadhani atahitaji mtu haraka wa kuweka akili sawa. Hapo unakuta huruhusiwi kupiga wala kujibu msg! Unaweza rukia dressing table hehehe! Kaazi kweli!
Hahahaaahaaa! Mke mwenza hapa nimecheka kwa loud spika...dah!
 
Back
Top Bottom