Iselamagazi
JF-Expert Member
- Sep 26, 2011
- 6,020
- 6,161
Kabisaaa mkuu naunga mkono hoja.
Na ipo siku huu ukawaida utakufikisha sehemu ukute unakazwa na mwanaume wa mama yako mzazi. Kwa ukweli sijui mnatania au mko na hii biashara ya miili yenu seriously. Kama ni utani, basi acheni utani mchafu namna hii na kama mnafanya kweli basi hata basi nyinyi ni mfano wa choo cha jiji. Kwa msichana/mwanamke kutembea na mume wa mtu ni dalili ya kujidharau. Sioni tofauti ya mtu wa namna hiyo na Nguruwe au mbuzi ambaye hupandwa wakati wowote na dume lolote, hata alilolizaa mwenyewe. Tutumie akili zetu kufanya mambo ya maana na kamwe tusiridhike akili zetu zikae kwenye sehemu za siri huku kichwa kikiwa na kazi ya kupakwa lipstick tu.
Maeneo yenu ya uzazi msiyafanye dust-bin kwa kila mwenye uchafu wake kutupia humo. Hivi nyinyi mnaoshabikia haya, MNA WAZAZI au mmezaliwa bar? Kule Nigeria wa-Ibo wana jina zuri kwa watu wa ajabu ajabu dizain yenu='excrement of the clan'
NAKEMEA VIKALI
Haya wanaume wenye nyumba ndogo,,,,,,,,, (Bishanga)njooni huku mpatiwe somo !!!
Husn mambo? Za idodomya?Wote wawili mkome. Wewe: kuchukia mwanamke mwenzio kupendwa na mumewe (anaekupenda atakutaja taja hasa kwa mazuri).
Yeye: akome kutothamini uwepo wako na kumwaza mkewe. Ila wewe ndio ukome zaidi ujue.
Ukiwa unatembea na mke/mume wa mtu mwisho wa siku na wewe watu wakufanyia tu
Kidude chenyewe hata robo kilo haitimii;
Lakini ni fundisho kwa wanaume wenye tabia ya kujenga nyumba ndogo, pesa inaliwa na hivi vinguchiro, vikishashiba vinaingia Jf na kuanza kurusha vijibomu!
Nakunongóneza: Hata uspofanya, watakufanyia tu. Jiongeze
Uzoefu unaonyesha mabinti wengi sana wanapenda kutembea na waume za watu, aidha sababu ya maslahi ama wakati mwengine kunakuwa na mapenzi ya kweli. Yani you happen to fall in love with somebody's husband. Mimi ni mdau pia ninae mume wa mtu.
Ila kuna kitu kimoja huwa kinauma sana wakati uko sasa na mpenzi wako (Mume wa mtu) ana anza mashauzi mara aaa
1. Jana nilienda na mama dinner
2. Mara jana nilivyokuwa home sijui wife kasema hivi
3. Mara sijui ngoja wife ananipigia
4. Mara sijui wife kasafiri
Acheni kupiga story za wake zenu kwani wakati unakuja kwangu hukujuwa kama una mke. Mkomeeeeeeeeeeeeeeeeee.
A very interesting thread,mwanzoni ilikuwa full kujivungavunga na kujidai mmu hakuna anayekiri ni nyumba ndogo,baadae mkaanza kujilipua akianza Darlingtone,kisha akaja Serafina,leo naona Kongosho,Not Enough na Bichwamaji naona nao wameamua kumwaga razi,i am sooooooooo happy about this development.Kidogo kidogo mmu kina mama mnaanza kujivua kanzu la unafiki linapokuja suala la uhawara.Ahsante sana NE kwa uzi huu,5 down,4995 to go!

Una uhakika kuwa kongosho ni she? Mi naona anachangia kama she mara kama he. Ona mchango wake huu hapo chini
Mke wangu akiniacha sababu ya bold najua kweli asiyefunzwa na mamaye hufunzwa na ulimwengu
Kwa kifupi ni kichwa panzi bora tu nimwache na wanangu wasije wakarithi ukichwa panzi wake
Tukirudi kwenye mada; kuwa wazi hapa JF au kuficha hakufanyi issue ya ukimada na uzinzi kuwa halali. Sioni sababu ya kuwasifu hao the so called open ladies. Wao ni vimada na jamii itaendelea kuwapinga kwa sababu HAIKUBALIKI! It doesn't matter who says what. Kinacho matter ni kilichosemwa. Wewe mwanao akwambie baba siku hizi nina mabuzi sita utampongeza kwa UWAZI???
One of the two can be the reason yaa yeye kukupa story za my wife wake:
1. Inawezekana anakuona wewe ni wa kupozea tu, or
2. Anajihisi hatia na aibu kutembea nje ya ndoa na hapo anataka kujifanya kwamba ingawaje anatembea nje ya ndoa, lakini mke wake wa ndoa anampenda! Hapo anataka kusingizia ile ki2 inakimbiliwa na waasherati na wazinzi kwamba "ni shetani tu kanipitia...!" Anataka kukujenga kisaikolojia uamini hivyo hata kama c kweli.....na kwamba ili hata ikitokea ukakutana na mke wake (kama unamfahamu) basi uwe na adabu kwake kv anampenda!
Hata hivyo, namba 2 inaweza kuwa ndio sababu kuu!