Nyumba Kubwa, uzinzi hauwezi halalishwa hata siku moja.
Hapo kazini kwako, ukipiga dili, sio dili ni WIZI, nao hauwezi halalishwa
Hakuna DHAMBI yeyote duniani inaweza halalishwa
Swali la kujiuliza, hatupigi madili ofisini tena tunatoka kifua mbele tukijisifu tuna akili?
Wanaume wana nyumba ndongo, inaeleweka siku zote, je hizo nyumba ndogo si wanawake kama NE aliyekuja clean na kusema ni nyumba ndogo?
Cammon katika hii dunia ya leo, kuna vitu hata kama si halali lakini vipo.
Ni hadi utakapokubali kitu fulani kipo, ndio utaweza kutafutia suluhisho.
Dont you know how to dig details? Mponde mtu kama utapata juisy details siku zote, utaambiwa rasha rasha.
Tena kwa wewe ambaye ni mama una watoto you should know better jinsi ya kuwafanya watoto wako waongee kweli ili uweze jua unaplay part gani, no matter how siriaz alichokifanya.
Ukiwa mkali siku zote watoto hukata kauli na kuwa MUTE, pata details za kutosha then toa adhabu.
Kanda ya ziwa husema, jifunze kumla samaki kuanzia mkiani.
Una uhakika kuwa kongosho ni she? Mi naona anachangia kama she mara kama he. Ona mchango wake huu hapo chini
Mke wangu akiniacha sababu ya bold najua kweli asiyefunzwa na mamaye hufunzwa na ulimwengu
Kwa kifupi ni kichwa panzi bora tu nimwache na wanangu wasije wakarithi ukichwa panzi wake
Tukirudi kwenye mada; kuwa wazi hapa JF au kuficha hakufanyi issue ya ukimada na uzinzi kuwa halali. Sioni sababu ya kuwasifu hao the so called open ladies. Wao ni vimada na jamii itaendelea kuwapinga kwa sababu HAIKUBALIKI! It doesn't matter who says what. Kinacho matter ni kilichosemwa. Wewe mwanao akwambie baba siku hizi nina mabuzi sita utampongeza kwa UWAZI???