Kwa wale vidume mliowahi kutongozwa na mademu, na mkachomoa/mkakataa, mlikataaje!!!?

Kwa wale vidume mliowahi kutongozwa na mademu, na mkachomoa/mkakataa, mlikataaje!!!?

Najaribu kukataa Ila huwa kuna kanguvu kama ka giza kanatumika na ndo mana sitajipa lawama na wala tusilaumiwe.
 
Nilitongozwa kama Bob vile nikampa mjegejo alioutaka
 
Ishawahi tokea hiyo

Yeye:mambo kaka 😁
Mimi: poa 🤓
Yeye:Mimi nakupenda😇
Mimi:nikamwangalia😶
Yeye:akaniangalia😶
Mimi:namuangalia😶
Yeye:ananianglia😶
Mimi:namuangalia😶
Yeye: ananiangalia😶
Mimi:namuangalia😶

Ilibidi niondoke, wiki Sasa mpaka wanaota nyasi, bado wanaangaliana!!😶
 
Nishatongozwa na madem watatu wakali.
2009, 2012 na 2014. Mpaka hii 2019 sijakumbana na hilo zalo tena.
 
Binafsi nlishawahi kutongozwa na Mademu/Wanawake ila kukataa ndo nashindwaga, je wakuu amboa mmekutwa na hili mliwezaje kukaza/kukataa!!!??


Mi nilikuwa straight forward tu, nilimwambia kuwa sikutaki na haunivutii kwa sababu una kitambi na unajichubua. Toka mwaka juzi nilimwambia hivyo akiniona tu anakuja kunipigia magoti na kunishukuru kuwa kaacha mkorogo na sasa anafanya mazoezi apunguze kitambi zembe.
 
Back
Top Bottom